UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,326
Mara ormaasinda kake akara olarusaiSheee,ira toi siye armaasinda?
Mara ormaasinda kake akara olarusaiSheee,ira toi siye armaasinda?
Waime matii larusa LevalaiEeeegh taa. Ilarusa itii!
[emoji4][emoji4] kanyoo vemilo Larusa lepalai nigelu engiti selengei ninyor ? Etagolo taa baek tena kataToning'o naa. Ing'urakaki enginyi kerai oormaasai naiem lepalai.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Mimi najua kikibosho tu.[emoji4][emoji4] kanyoo vemilo Larusa lepalai nigelu engiti selengei ninyor ? Etagolo taa baek tena kata
Hahhahaha aisee wewe sista si umeamua kuwa mtumwa ,aisee nimezaliwa mjini lakini hamna kitu nilikua napenda kama kujifunza lugha yetu ,likizo zote nilikua narudi kijijini kwa bibi ,[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Mimi najua kikibosho tu.
Hiki hata sielewi....
Mnaweza kuniteta aiseee [emoji22]
Tatizo mimi Arusha sijakaa sana,halafu nakiona kigumuuuu.Hahhahaha aisee wewe sista si umeamua kuwa mtumwa ,aisee nimezaliwa mjini lakini hamna kitu nilikua napenda kama kujifunza lugha yetu ,likizo zote nilikua narudi kijijini kwa bibi ,
Aisee ni kweli ni kigumu sana hasa hasa kama unajifunza ukubwani ,na pia kutokukaa Arusha imechangia sana kutokujua ,ilikua rahisi kujifunza kwa sababu likizo zote za shule nilikua narudi ArushaTatizo mimi Arusha sijakaa sana,halafu nakiona kigumuuuu.
Sasa nikienda home wakiwa wanaongea...
Napata wakati mgumu sana.
Kuna kipindi nilikuwa nakariri maneno namuambia cousin anitafsirie...nikaja ona ni undezi tu.
Nikaacha.
Uwe unakuja nakufundisha fundisha kidgTatizo mimi Arusha sijakaa sana,halafu nakiona kigumuuuu.
Sasa nikienda home wakiwa wanaongea...
Napata wakati mgumu sana.
Kuna kipindi nilikuwa nakariri maneno namuambia cousin anitafsirie...nikaja ona ni undezi tu.
Nikaacha.
Uuushooo. Itu toi sinanu aton taalarusa. Aaapa ati shule emisingi atayolo kimasai kinyi. Metaa mayelo enatumie nena kera ooormaasai.[emoji4][emoji4] kanyoo vemilo Larusa lepalai nigelu engiti selengei ninyor ? Etagolo taa baek tena kata
Haitoshi asee, mwili unauma bana ukichomwa tu na kamwiba habari unaipata, itakua kukatwa???yale maji wanayooga kabla ya kukatwa yanakua ya baridi sana kwa hyo yanaufanya mwili uwe kama umepigwa ganzi
Mabaye sinanu Larusa olalahe lai kake etii ngeraki tenilo Naberera arashu Orkesmeti ,tabaraki taa kuna ne Mujini , Mayelo sinanu ena kutuk abaraki enaomwoneki ake ngare ayoloUuushooo. Itu toi sinanu aton taalarusa. Aaapa ati shule emisingi atayolo kimasai kinyi. Metaa mayelo enatumie nena kera ooormaasai.
AhahahahahaLakini una umasaini ndani yake,siyo?