Togo tower

Togo tower

Madam zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
221
Reaction score
18
Habari zenu wadau wa jf,,naomba msaada kwa anae fahamu,,nimeitwa intavyuu TOGO TOWER ila sifahamu ilipo pia hata sikumbuki ni office gani kwa sababu niliomba sehem nyingi mno,,pia naomba kujua kama siku ya intervyuu watahitaji vyeti original
 
Jaribu Kinondoni 'A' Mtaa wa Togo. Kila la kheri.
 
Togo tower ipo kinondoni karibu na kinondoni makaburini, kama ukipanda magari ya kutoka makumbusho kwenda posta/steshen, yakishakatiza tu yale mataa ya pale kinondoni manyanya kuelekea road inayotokeza ubalozi wa India mwombe konda msaada Togo house, ama ukifika kinondoni manyanya uliza mtu yoyote akuelekeze ilipo Togo house

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tanx mine
 
No siyo Tayoa, Tayoa wamehamia Mikocheni kituo cha kwa Mwalimu Nyerere karibu na Isale house mdau wangu

Back
Top Bottom