Tofautisha member wa JF na wa FB

Tofautisha member wa JF na wa FB

FB is da World brand Obama, zuckerberg, Jay Z, Bill Gates, Mandela, Nyerere, Steve Jobs, Marais wote wa dunia hii, makampuni yote yanayo endesha dunia hii unayakuta kule, Taasisi km UN, World Bank, IMF unazikuta kule users almost 1 Billion World Wide.
JF users 45,000 watu wanajiita Great Thinkers lakini ukweli ni kua kuna topics mpka za Walemavu wa Akili eti mtu anauliza kwanini hapendi kuoga alaf unakuta comments kibao sa unajiuliza hawa ni users au spams..????
JF ni mtoto mdgo sana asiye na meno unapoamua kuilinganisha na World Brand km FB ki fact. JF yenyewe wamefungua page FB wanajitangaza kupitia FB hao founders wenyewe wa JF ni members wa FB what elz to say.....???????????
 
Ndio maana nimesema utawajua kutokana na nyuzi zao......
 
ilikuwaje ukashindwa kujisajili kwa jina hata la kijijini unakotoka ukaona ukopi na kupesti jina kwa kufupisha maneno ! invisible paw hii imekaaje !

Kweli ndio maana wanawasema vibaya memberz wa fb kwa kutokuwa wabunifu ,ila mimi naona ni stage soon mtaelewana .

naomba nisikujibu
 
Last edited by a moderator:
FB is da World brand Obama, zuckerberg, Jay Z, Bill Gates, Mandela, Nyerere, Steve Jobs, Marais wote wa dunia hii, makampuni yote yanayo endesha dunia hii unayakuta kule, Taasisi km UN, World Bank, IMF unazikuta kule users almost 1 Billion World Wide.
JF users 45,000 watu wanajiita Great Thinkers lakini ukweli ni kua kuna topics mpka za Walemavu wa Akili eti mtu anauliza kwanini hapendi kuoga alaf unakuta comments kibao sa unajiuliza hawa ni users au spams..????
JF ni mtoto mdgo sana asiye na meno unapoamua kuilinganisha na World Brand km FB ki fact. JF yenyewe wamefungua page FB wanajitangaza kupitia FB hao founders wenyewe wa JF ni members wa FB what elz to say.....???????????

Nothing else, Umemaliza kila kitu!!!!
 
Mm tangu livojiunga JF nimekua naboreka kuingia FB. Yaani JF ndo mpango mzima.
 
FB is da World brand Obama, zuckerberg, Jay Z, Bill Gates, Mandela, Nyerere, Steve Jobs, Marais wote wa dunia hii, makampuni yote yanayo endesha dunia hii unayakuta kule, Taasisi km UN, World Bank, IMF unazikuta kule users almost 1 Billion World Wide.
JF users 45,000 watu wanajiita Great Thinkers lakini ukweli ni kua kuna topics mpka za Walemavu wa Akili eti mtu anauliza kwanini hapendi kuoga alaf unakuta comments kibao sa unajiuliza hawa ni users au spams..????
JF ni mtoto mdgo sana asiye na meno unapoamua kuilinganisha na World Brand km FB ki fact. JF yenyewe wamefungua page FB wanajitangaza kupitia FB hao founders wenyewe wa JF ni members wa FB what elz to say.....???????????
:yield::yield::yield:
 
Back
Top Bottom