Tofautisha kutamani na kupenda

Tofautisha kutamani na kupenda

ladyfurahia,utafiti anafanya utafiti wake wa namna ya kutamani kwa miss neddy!Tusubiri watuletee mrejesho! Hahahahaa
 
Ukipenda mtu hata akisema rala kwenye maji utalala tu maana umempenda kutoka Moyoni

BksefiRIgAAEfDI.jpg
 
kutamani ni primary wakati kupenda ni secondary. kwa asilimia kubwa watu hutamani tu alafu baadae wanamzoea huyo waliyemtamani mwanzo. hayo mazoea ndio wanaita upendo
 
Wanajamvi hebu tofautisheni kati ya kupenda na kutamani
maana mm sielewi sana kiundani angalieni picha hzi
mniambie kuwa KUPI KUPENDA KWA DHATI NA KUPI KUTAMANI KWA DHATI?

KUPENDA KWA DHATI

View attachment 149873 View attachment 149875


KUTAMANI KWA DHATI

View attachment 149876 View attachment 149877

HEBU TIRIRIKENI HAPA NA MWAGE SERA ZENU UPI
NI UPENDO WA DHATI NA ULE WA KUTAMANI UKOJE?
UWANJA MPANA KWA AJILI YENU ILA KEBEHI ISIWEPO HAPA
Kutamani ni uhitaji wa nje lakini Kupenda ni uhitaji wa Ndani(Nafsi)
Ndio maana mkeo/Mume haumtamani ila unampenda Small house unaitamani tuu.
 
Back
Top Bottom