Tofautisha kutamani na kupenda

Tofautisha kutamani na kupenda

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Wanajamvi hebu tofautisheni kati ya kupenda na kutamani
maana mm sielewi sana kiundani angalieni picha hzi
mniambie kuwa KUPI KUPENDA KWA DHATI NA KUPI KUTAMANI KWA DHATI?

KUPENDA KWA DHATI

JESUS.jpg Y.jpg

KUTAMANI KWA DHATI

OO.jpg PP.jpg

HEBU TIRIRIKENI HAPA NA MWAGE SERA ZENU UPI
NI UPENDO WA DHATI NA ULE WA KUTAMANI UKOJE?
UWANJA MPANA KWA AJILI YENU ILA KEBEHI ISIWEPO HAPA
 
Attachments

  • U.jpg
    U.jpg
    11.6 KB · Views: 1,263
ladyfurahia labda kutamani ni kuhitaji (kwa mda huo) mfano natamani unaweza kutamani kula chips mayai, unaweza kutamani haki yako ya ndoa kwaio unamwambia mwenza wako natamani....., unatani kumuona mtu flani unamwambia "i miss you"
Lakini kupenda ni kitu kimo moyoni, I love my mama, I love my family, I love my wife
 
Last edited by a moderator:

Leo nimejua kumbe wewe ni mtu mwenye Busara sana na ni mtu mzima mwenye Familia haya maneno niliwahi kuambiwa na Padri mmoja Dodoma kuhusu Kutamani na kupenda kama ulikuwepo siko mbali sana na wewe mkuu.
 
asante kwa kunifahamisha mkuu nimekupata kwa mbali kdgo
ladyfurahia labda kutamani ni kuhitaji (kwa mda huo) mfano natamani unaweza kutamani kula chips mayai, unaweza kutamani haki yako ya ndoa kwaio unamwambia mwenza wako natamani....., unatani kumuona mtu flani unamwambia "i miss you"
Lakini kupenda ni kitu kimo moyoni, I love my mama, I love my family, I love my wife
 
Kupenda ni kitu Kinachotoka ndani ya Moyo Hisia za kweli kwa kitu mfano napenda Timu ya Yanga au Simba na ndio unaona watu wanakufa kwa sababu tu timu moja wapo imefungwa hiyo ni kwa sababu ya Kupenda ikifungwa Moyo unaumia sana.(na hata uambiwe mabaya yapi kuhusu hicho unachokipenda wala hauta jali).
 
kaka utafiti unataka kusema wale wanaopenda michepuko ni watamaniji zaidi...?
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia labda kutamani ni kuhitaji (kwa mda huo) mfano natamani unaweza kutamani kula chips mayai, unaweza kutamani haki yako ya ndoa kwaio unamwambia mwenza wako natamani....., unatani kumuona mtu flani unamwambia "i miss you"
Lakini kupenda ni kitu kimo moyoni, I love my mama, I love my family, I love my wife

word!!!!
umemisiwa na mimi rafiki
 
Last edited by a moderator:
hizo picha zinawaonyesha wanawake kama viumbe hatari...wako na silaha kw anyuma
sidhani kama hii ni sawa..yeyote kati ya mwanaume na mwanamke anaweza kuwa hatari kwa mwenziwe
 
Back
Top Bottom