Tofauti ya Wasanii wa Tanzania na Wasanii Wa Nigeria( Ndani na Nje Ya Sanaa).

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
11,053
28,719
Kwanza kabisa tukubali jamaa wa west africa wako mbali sio wasanii peke yao hata vijana wa kule ni tofauti na sisi wa huku Tanzania anzia mawazo hadi vision ya maisha.
Ifuatayo ni tofauti niliyoiona.
1. Tanzania wasanii wengi ni Maskini na fukara Nigeria wengi wao wanajiweza kipesa na matajiri.
2. Wasanii wa Tanzania wengi wanaishi maisha ya kujidanganya wao wenyewe na kujipa thamani wasiyokua nayo wakati Nigeria wasanii hawafanyi hivo.
3. Tanzania wasanii hawana umoja kabisa na wanaishi kinafiki wakati Nigeria wasanii wana umoja mkubwa sana hata pakitokea sintofahamu wanaimaliza mapema iwezekanavo.
4. Wasanii wa Tanzania hawapati kile wanachostahiki kutokana na jasho lao wakati wanaigeria kuanzia mauzo na stahiki zao kwenye kazi zao za sanaa zinawabeba sana.
5.kazi za wasanii wa Kitanzania hazifiki kwenye masoko yenye pesa duniani kwa maana Amerika na ulaya Wakati wenzao wa Nigeria kazi zao zinapenya kwenye masoko ya maana.
6.wasanii wa Tanzania wengi hutumika kwenye majukwaa ya kisiasa kwa malipo kidogo wakipewa na kofia ndio imetoka Wakati wasanii wa Nigeria hutowaona hovyo kwenye majukwaa ya kisiasa.
7. Wasanii wa Tanzania hawana miradi endelevu ya kiuchumi Wakati Nigeria wanajali uwekezaji endelevu kwa mfano psquare hawana njaa hadi leo wakati juma nature wetu hali sio hali na analilia collabo na madogo.
8. Wasanij wa Tanzania wanapenda kupanga majumba ya kifahari ya watu wengine Wakati Wasanii wa Nigeria wanapenda kujenga majumba yao ya kifahari.
9.wasanii wa Tanzania hawapendi kujenga vijijini kwao Wakati wasanii wa Nigeria wanapenda kujenga vijijini kwao.
10.Wasanii wa Tanzania wengi wao shule hamna kabisa wakati Wasanii wa Nigeria wengi Wao ni Wasomi wa fani mbali mbali.

Msanii wa Vichekesho Emmanuela akiwa amejenga nyumba kijijini kwao kwa wazazi wake hawa wanigeria wanapapenda kwao vijijini lakini wasanii wetu wapendwa wakishatokomea mjini ndio basi tena.
IMG_8812.jpg
 
subiri mapovu ya xmass kuanzia mkesha na kesho wakishiba mapilau na ushuzi wote kuanzia bia,soda,nyama pamoja na sabato watakuwa wamefungulia.
 
Subiri watetezi wao watakuja sio muda mrefu waje kumalizia hangover zao hapa
 
Well,lkn unaposem wasanii wa Tanzania hawashirikiani lkn wanaija wanafany hv, huo ni uongo mkubwa.

kwnza,jiulize kwa idadi kubwa na ukubwa wa nchi ya naijeria ni ya kuw na wasanii wakubwa 3 tu wanaotamba?(wiz,burner na davido).

Pili,iv umelifatilia bifu la devido na burner boy au unaongea tu kwa hisia

Tukiachana na hizo mamb,unasem ety wasanii wa bongo wa fake San,,so what?
Sual la kufake we unaona ishu?,hiy ni kawaid San kwa msanii na lengo ni kijipa value il wawez kufany kaz na makampuni makubwa na brandings as well

Afu unasem kuhs kujenga kwao,mi nakup mifano hai,linex,stammina,alikiba,dogo janja n.k Haw ni miongon mwa wasanii ambao wamejenga kwao.

Na pia kuhs umaskin na utajir,cyo wasanii wot ni kutuk familia Bora na Wala hawafik asilimia 30,unajua familia ya yemi alade blaza.

Naishia hapo

Sem acha kuhusisha hisia kweny mada zinazohitaji hoja za kitafiti
 
Yemi Alade mbona wako poa sana
 
Kwanza kabisa tukubali jamaa wa west africa wako mbali sio wasanii peke yao hata vijana wa kule ni tofauti na sisi wa huku Tanzania anzia mawazo hadi vision ya maisha.
Ifuatayo ni tofauti niliyoiona.
1. Tanzania wasanii wengi ni Maskini na fukara Nigeria wengi wao wanajiweza kipesa na matajiri.
2. Wasanii wa Tanzania wengi wanaishi maisha ya kujidanganya wao wenyewe na kujipa thamani wasiyokua nayo wakati Nigeria wasanii hawafanyi hivo.
3. Tanzania wasanii hawana umoja kabisa na wanaishi kinafiki wakati Nigeria wasanii wana umoja mkubwa sana hata pakitokea sintofahamu wanaimaliza mapema iwezekanavo.
4. Wasanii wa Tanzania hawapati kile wanachostahiki kutokana na jasho lao wakati wanaigeria kuanzia mauzo na stahiki zao kwenye kazi zao za sanaa zinawabeba sana.
5.kazi za wasanii wa Kitanzania hazifiki kwenye masoko yenye pesa duniani kwa maana Amerika na ulaya Wakati wenzao wa Nigeria kazi zao zinapenya kwenye masoko ya maana.
6.wasanii wa Tanzania wengi hutumika kwenye majukwaa ya kisiasa kwa malipo kidogo wakipewa na kofia ndio imetoka Wakati wasanii wa Nigeria hutowaona hovyo kwenye majukwaa ya kisiasa.
7. Wasanii wa Tanzania hawana miradi endelevu ya kiuchumi Wakati Nigeria wanajali uwekezaji endelevu kwa mfano psquare hawana njaa hadi leo wakati juma nature wetu hali sio hali na analilia collabo na madogo.
8. Wasanij wa Tanzania wanapenda kupanga majumba ya kifahari ya watu wengine Wakati Wasanii wa Nigeria wanapenda kujenga majumba yao ya kifahari.
9.wasanii wa Tanzania hawapendi kujenga vijijini kwao Wakati wasanii wa Nigeria wanapenda kujenga vijijini kwao.
10.Wasanii wa Tanzania wengi wao shule hamna kabisa wakati Wasanii wa Nigeria wengi Wao ni Wasomi wa fani mbali mbali.

Msanii wa Vichekesho Emmanuela akiwa amejenga nyumba kijijini kwao kwa wazazi wake hawa wanigeria wanapapenda kwao vijijini lakini wasanii wetu wapendwa wakishatokomea mjini ndio basi tena.
View attachment 2056134
Roma mkatoliki alisema ukimnyooshea vidole msanii kuna vingine vinakuekekea wewe na kukusuta.
Roma alisema wakati wewe ni Dokta unamsema msanii hajafanikiwa kuna madokta wenzio wanaijeria wapo hospitali kubwa ulaya,USA,Asia na Afrika wanapiga hela ndefu---kweli kabisa
Wewe mwalimu unawasema wasanii wabongo kuna walimu wenzio wanaijeria wanapiga hela ndefu Ulaya,USA na Asia ---kweli kabusa!
Wewe injinia unamsema msanii wa bongo kuna mainjinia wenzio wanaijeria wanapiga pesa USA,Ulaya nk
Wewe mjasilia mali unamsema msanii wa bongo kuna wajasiliamali wanaijeria wanapiga hela USA,Ulaya nk.
Wewe mdangaji, shoga,marioo,muhasibu, mchezaji nk, nk kuna wenzio wanaijeria wanapiga hela Ma nje huko.
Nilimuelewa sana roma, kuwa Nigeria kila sekta wanafanya vizuri kwa hio hata nyie msio wasanii kuna wenzenu wa sekta yenu wapo mbali mkae mjitathmini.
Mtoa mada kuna wanaijeria wa sekta yako wapo mbali huko Nigeria na Ulaya wanafanya makubwa.
Jiulize unakosea wapi mbona wenzio wanaijeria wanapiga hela ndefu hio sekta ulipo.
Nilimuelewa sana ROMA kwamba nchi yetu haijengwi na wasanii tu!!
Vile vile wanaijeria hawakuanzia from no where kuna misingi ilijengwa.
Do you know Fela kuti, huyo ni kati ya wanaijeria wengi waliojenga misingi ya hao kina Davido,p Square nk.
Hivyo tujenge misingi ndugu zangu, tuache kulaumu, kila mtu ajenge msingi kwa ajili ya vizazi vijavyo, tuwapongeze wasanii wetu kwani wanajenga misingi ila msio na macho hamuoni.
 
Nigeria unaichukuliaje mkuu.
Hivi bongo kuna mtu anauwezo na ujasiri wa kuanzisha kundi la uhasi kama Boko Haram?
Kaa ujue naijeria sio unavyoiwaza.
Nigeria tunatakiwa tuwalaumu kwa nini hawawi Super Power sio kutufananisha nao.
Miaka 20 ijayo naiona Tanzanua TOP 10 ya nchi zilizofanikiwa Africa hivyo hata wasanii wetu watakuwa wakimataifa.
Nigeria ni best economy in Africa ukaifananishe na Tanzania! hauwatendei haki wasanii wetu. Kipato cha nchi ni indicator wa kila kitu.
 
Anza kwanza kutupa tofauti kati ya Tanzania na nigeria...hawa wakwetu unawaona mazuzu wakati East Africa ndio vinara
 
Back
Top Bottom