Tofauti ya wanawake na wanaume....

Tofauti ya wanawake na wanaume....

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
Wasalaam wanajukwaa!
Hii habari sidhani kama inafaa kuwa kwenye jukwaa la mapicha picha kwa maana inatufundisha mengi, moderators mtanisaidia kama nimekosea. Chukulia ndio mnategemea kutoka pamoja asubuhi na hasa wale mnaoishi zenu mijini mkikimbizana na usafiri, foleni nk.
Je, unakubaliana na maelezo ya picha au ni uzushi?

Nawasilisha.

c11.jpg
 
kuna ukweli fulani. Ndiyo maana maandalizi ya safari zao huanza mapema zaidi ili waendane na muda mf. appointment. Kitu chengine ni uzito wa usiyoutegemea katika vijizigo vyao vidogo, sijuwi nani kawafundisha kupeki!
 
Ukweli upo, cjawahi kumuona mwanaume ajiandaa saa zima, eti kuoga na kuvaa...!!!!
 
mkuu saudari, sikubaliani sana maana inabidi uwe just simple and normal!
 
Back
Top Bottom