Tofauti ya wanaume na wavulana.......kitabia...

Unachanganya hapa mama nanihii....
We dont have boys in us....
We are children at heart.....you love kids, right?
Kweli kabisa imekamilika... ila tu kwakuongezea IMO no matter Mwanaume ni kamilifu kiasi gani there is always a boy inside popin' up once in a while...
 
Unachanganya hapa mama nanihii....
We dont have boys in us....
We are children at heart.....you love kids, right?

Asante kwa correction Biggie...
and of coz I love children to the Max!

Kumbe you know you are a child at heart eeh?
Noamba one of the situation ambayo yaweza mdefine a true man hivo...
 
Asante naongeza .mvulana akienda na mwanamke atakuja kusimulia kila kitu hata rangi ya nguo ya ndani.Wakati mwanaume atayameza yote yaliyotokea mlipokuwa wawili.

hahahahaaaa ... experience inahusu zaidi hapa ... l.o.l!!
 
wanafanya nini kwani?
Wanadeka, mwanaume anatakiwa ndo alete solutions.
Sio makosa yao,
Baba zao wako bize ikasababisha watoto wawe karibu na mama zaidi, na kujifunza tabia za kike zaidi.
Unapokutana na mwanaume anataka umnunulie lunch, bila sababu, wala aibu,
anapotaka umsaidie begi bila sababu,
anapolia njaa kwa dizaini moja na wasichana
anapolalamika mbele ya wasichana wengine mambo ya mapenzi yake na wapenzi wake,
anapoweza kujadili jambo masaa bila kuwa na wazo la solutions
inasikitisha, watoto wetu wataolewa na nani?
maybe women are becoming too strong? and men are not equiped to stand and rule the world anymore?
 
some truth....
 
zamani ilikuwa 'wavulana' wanafundishwa hata kukaa sana
na mama yako na dada zako sio sawa.....siku hizi hakuna haya mafundisho..
na hilo la kulalamika bila kuchukua 'hatua' ndo utamaduni siku hizi...

unakuta wanaume wote above 45 wanalalamika wakati 'inahitajika'
mmoja tu aende 'kumuuliza muhisika' nini chanzo..
mfano maofisini....watu hata kumuuliza Boss wao tatizo wanaogopa....
kwenye daladala konda anafungulia sauti kuubwa hadi kero,
vidume vimenyamaza tu,wakina mama wanatazama 'wanaume'
hawaoni wa kuwasaidia...
 
Nimeona sehemu wameanza kuwafanyia wavulana special life training, wamegundua wako nyuma kiasi, na wasichana same age wako more self asured, confident, self reliant, decisive, less fearfull of life and the future, more agressive.
Utaona nyumba / ndoa zinavunjika kwa sababu wanawake hatuwezi kuwa reliant kwa hawa wavulana, na wao wanaoona challenge zimezidi, hawana ujuzi wa kudeal nayo, solution kila mtu aende kwao,
 
ukichunguza ni kuwa siku hizi
kuna mafunzo meengi ya 'kuwawezesha wanawake'
kuanzia kujitambua,kujiamini,na kujiwezesha kiuchumi na kadhalika..
ukija kwa wavulana,huoni mafunzo hayo..

watu huchukulia tu 'kila mvulana akisha balehe basi amekuwa mwanaume'
kumbe sio wote wanaoweza 'ku handle majukumu na stress za kuwa mwanaume'
 
Boss,

Ukichanganya ule uzi wako wa safe dealings na nyumba na huu hapa waweza kutengeneza story (book) la maana sana..

Just encouraging you enterprenuar idea..

Lakini lazima u-acknowldge mchango wa members wa JF
 
Huu uzi ulijificha wapi, au mi ndo nilijificha!
Mzazi umechana kila kitu,
hiyo tabia ya kushobokea binti mrembo mwenye mvuto siipendagi toka nipo mdogo wala nlkuwa sipendi kugeuka , sasa sijui nlkuwa mwanaume toka enzi hzo? lol....!
 
hongera aisee ..
 
Back
Top Bottom