Tofauti ya viongozi wa CCM na CHADEMA

Kumbe huna hata wiki 2 humu, karibu mgeni, ila humu tuna nidhamu ya kuheshimu mawazo ya kila muanzisha hoja, hiyo ndo lecture ya kwanza, sasa uzi una 500viewers na comments...bdo una ugeni humu? Umesema hauna maisha marefu, mbna unaendelea?
Asilimia 90% ya comments ni nje ya topic,thats what i am talking about!Viewers sio shida,watu wanasoma wanaona upuuzi hawacomment!
Ukitaka kujua uzi kama umeshiba,walau kwa kuwe na uuwiano mwanzoni kati ya views na replies!
 
Ccm na polisi ni ndugu so Hata mahojiano yao huwa ya kirafiki sana tofauti na chadema..... Kwa hiyo usitegemee baada ya mahijiano watatoa statements zinazofanana
 
Hivi katika yote aliyoongea nao hayo ndio kaona ya msingi kutuletea?? Yaani kapewa nafasi ya kuzungumza na polisi anayoyajua, pengine ingekuwa siri yake na jeshi la polisi..tulitegemea aongee kwa uchache pengine hata aseme nimewaeleza ninachokijua kuhusu kupotea kwa MO na kupatikana kwake na matukio mengine kama hayo na nimewashauri..hii ingempa heshima hata kwa polisi wenyewe huko arusha..lakini alichokileta huku kwenye media ni kuongeza ukuta na polisi.
Bahati mbaya Lema anahisi mjadala wa MO ni kiki ndio maana amefanya kama vita kati yake na polisi ili aendelee ku trend kwenye media..midomo na vidole vya mashabiki wake vinamdanganya..
Wakati mwingine watu hujibu kutokana na jinsi wanavyokua treated, nakumbuka jana Makamba ka tweet sjiakamatwa na polisi nipo salama, mtu unajiuliza kwani kukamatwa na polisi ina maana haupo salama? Lema kaelezea utekwaji na upatikanaji wa Mo kuwa ingekua biblia bado inaandikwa .... hicho ndicho anachokiamini na huenda wapo wengi wanaoona issue ya mo ni miujiza ila hawasemi tu. Kwa maana hiyo alichokisema Lema kwa wale wanaojua figurative language ni ujumbe mzito ingawa wengine wanaiona ni kejeli. We have to learn to read between the lines
 
Kwa nini iwe miujiza..?yawezekana kina lema wanachoamini na kukisema ndio miujiza zaidi..sababu dunia nzima imepaza sauti...serikali kupitia polisi wametimiza wajibu wao..walizuia hadi njia za baharini na nchi kavu..sasa miujiza kivipi..?yawezekana kiimani ni miujiza maana kiimani hata ukikohoa ukiombewa ukapona inakuwa miujiza...lakini pia miujiza huwa pale njia za kibinadamu zinaposhindwa..mfano kupona kwa lissu waweza ita muujiza..
Lakini polisi walionyesha hadi gari..the ishu ni kuwa lema anataka kupata kiki kupitia tukio hili..anataka kumfananisha mo na saanane..wakati mo karipotiwa dunia nzima na isitoshe kaipaisha nchi kuwa kuna nchi inaitwa tz kuna young billionair..
Lakini basi kama ndio hivyo vipi kuhusu mauaji ya watu wasiojulikana yaliokuwa yanaendelea kibiti hadi kuwa mahali pasipokalika tena..nayo yameisha kwa miujiza??
 
Asilimia 90% ya comments ni nje ya topic,thats what i am talking about!Viewers sio shida,watu wanasoma wanaona upuuzi hawacomment!
Ukitaka kujua uzi kama umeshiba,walau kwa kuwe na uuwiano mwanzoni kati ya views na replies!
We unaonekana tu bado unanuka maziwa..sio kosa lako..karibu jukwaani maana wanyoa viduku na wavaa kata k mmevamia sana jukwaa..
 
Hiyo paragraph ya kwanza tu imedhihirisha umeandika kishabiki. Sijaona haja ya kuendelea kusoma huu Ushuzi
 
Wewe Binti hautumii japo robobyabubongo waako mdogo tu.Sasa kwa drama na comedy ya Mo inahitaji usirias gani?hapo ni mwendo wamautani tu,ndio maana hata ninyi ccm hamkupiga kelele kama sisi maana mlijua sio sirius Hata Makamba Jr hakuweka userius hata Lema pia hakuweka usirias.
Wewe hauko sirias ndo maana umeona Makamba kuwa yupo sirias.
 
Hapa ndipo utakapogundua kwamba maCCM yanafikiri kwa kutumia makalio. Tazama jinsi yanavyohemka ovyo kama makahaba wa kwa macheni.
Hapa ndio utaona tofauti kubwa ya kiuongozi kutoka kambi hizi mbili CCM na CHADEMA rekodi ya hazina ya viongozi CCM haiwezi kufikiwa na chama chochote kwa miongo mingi sana.

Wote waliitwa polisi mmoja akashauti,mwingine akaenda kusikiliza japo hakufanya press conference wala kuonyesha anajua sana kuhusu janga la MO.

Wametoka, mmoja anakuja kuwakilisha kejeli alizotoa dhidi ya jeshi la Polisi wakati alionesha anajua kuhusu MO pengine ndio ilikuwa fursa ya kuwapa ushirikiano lakini kaishia kutuletea kejeli akiamini vita aliyoanzisha na Jeshi la Polisi kashinda.

Huyu mwingine ameonyesha kuiva ameonyesha busara na hekima kailetea jamii matukio chanya kuhusu mahojiano yake na Polisi hali inayoonesha hata Polisi wako tayari kupokea ushauri pengine aliowapa huko.

Hii ndio tofauti ya wao na sisi.
View attachment 907563View attachment 907565
 
Kwa nini iwe miujiza..?yawezekana kina lema wanachoamini na kukisema ndio miujiza zaidi..sababu dunia nzima imepaza sauti...serikali kupitia polisi wametimiza wajibu wao..walizuia hadi njia za baharini na nchi kavu..sasa miujiza kivipi..?yawezekana kiimani ni miujiza maana kiimani hata ukikohoa ukiombewa ukapona inakuwa miujiza...lakini pia miujiza huwa pale njia za kibinadamu zinaposhindwa..mfano kupona kwa lissu waweza ita muujiza..
Lakini polisi walionyesha hadi gari..the ishu ni kuwa lema anataka kupata kiki kupitia tukio hili..anataka kumfananisha mo na saanane..wakati mo karipotiwa dunia nzima na isitoshe kaipaisha nchi kuwa kuna nchi inaitwa tz kuna young billionair..
Lakini basi kama ndio hivyo vipi kuhusu mauaji ya watu wasiojulikana yaliokuwa yanaendelea kibiti hadi kuwa mahali pasipokalika tena..nayo yameisha kwa miujiza??
Muujiza inaweza kuwa ni eneo na alivyotekwa na eneo na namna alivyopatikana. Mtekaji kuja kumuacha mtekwaji katikati ya mji na kwa kutumia gari hilohilo alilomtekea ambalo police wakishalijua na kuutangazia umma walikua wanajiaminije? Na pia kumwacha mtekwaji na silaha za kivita bila kua wamemfunga mikono walijuaje kama asingeweza chukua hizo silaha zenye risasi na kuwashambulia? Hii ndio miujiza. Ushujaa wote huo waliokua nao watekaji ila wakaogopa kuiomba familia hela wasije shikwa na polisi, lakini wakapata a courage kumuacha viwanja vya gymkana na gari walilomtekea na silaha juu hii ndio miujiza michache
 
Back
Top Bottom