Tofauti ya viongozi wa CCM na CHADEMA

sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
7,565
11,480
Hapa ndio utaona tofauti kubwa ya kiuongozi kutoka kambi hizi mbili CCM na CHADEMA rekodi ya hazina ya viongozi CCM haiwezi kufikiwa na chama chochote kwa miongo mingi sana.

Wote waliitwa polisi mmoja akashauti,mwingine akaenda kusikiliza japo hakufanya press conference wala kuonyesha anajua sana kuhusu janga la MO.

Wametoka, mmoja anakuja kuwakilisha kejeli alizotoa dhidi ya jeshi la Polisi wakati alionesha anajua kuhusu MO pengine ndio ilikuwa fursa ya kuwapa ushirikiano lakini kaishia kutuletea kejeli akiamini vita aliyoanzisha na Jeshi la Polisi kashinda.

Huyu mwingine ameonyesha kuiva ameonyesha busara na hekima kailetea jamii matukio chanya kuhusu mahojiano yake na Polisi hali inayoonesha hata Polisi wako tayari kupokea ushauri pengine aliowapa huko.

Hii ndio tofauti ya wao na sisi.
IMG_20181022_191708.jpg
IMG_20181022_191825.jpg
 
Nchi hii itachukua miaka mingi sana mpaka kuja kuongozwa na wapinzani,kama wapinzani wenyewe ndio hawa tuna safari ndefu sana na ccm hakuna kichaa ambaye yupo tayari kuharibu kura yake kuwachagua wehu kma hawa wasio na staha wao muda wote wanawaza vita tu badala ya kujenga hoja za msingi kabisa.
 
Hapa ndio utaona tofauti kubwa ya kiuongozi kutoka kambi hizi mbili..ccm na chadema..rekodi ya hazina ya viongozi ccm haiwezi kufikiwa na chama chochote kwa miongo mingi sana..
Wote waliitwa polisi..mmoja akashauti,mwingine akaenda kusikiliza japo hakufanya press conference wala kuonyesha anajua sana kuhusu janga la MO.
Wametoka..mmoja anakuja kuwakilisha kejeli alizotoa dhidi ya jeshi la polisi wakati alionyesha anajua kuhusu MO..pengine ndio ilikuwa fursa ya kuwapa ushirikiano..lakini kaishia kutuletea kejeli akiamini vita aliyoanzisha na jeshi la polisi kashinda..
Huyu mwingine ameonyesha kuiva..ameonyesha busara na hekima..kailetea jamii matukio chanya kuhusu mahojiano yake na polisi hali inayoonyesha hata polisi wako tayari kupokea ushauri pengine aliowapa huko..
Hii ndio tofauti ya wao na sisi..View attachment 907563View attachment 907565
Huyu si kasema ukiwa mikononi mwa polisi hauko salama?
 
Nchi hii itachukua miaka mingi sana mpaka kuja kuongozwa na wapinzani,kama wapinzani wenyewe ndio hawa tuna safari ndefu sana na ccm hakuna kichaa ambaye yupo tayari kuharibu kura yake kuwachagua wehu kma hawa wasio na staha wao muda wote wanawaza vita tu badala ya kujenga hoja za msingi kabisa.
Sawa na umasikini utaendelea tu
 
Nchi hii itachukua miaka mingi sana mpaka kuja kuongozwa na wapinzani,kama wapinzani wenyewe ndio hawa tuna safari ndefu sana na ccm hakuna kichaa ambaye yupo tayari kuharibu kura yake kuwachagua wehu kma hawa wasio na staha wao muda wote wanawaza vita tu badala ya kujenga hoja za msingi kabisa.
Kwakuwa ni taifa la wajinga ndio maana ni ngumu mwerevu kutawala group la arrogant people
 
Nyie waacheni tu waropokaji wote mwisho wao 25-28 October 2020.haijalishi wanatoka CCM au chadema.mbele ya JPM NA Bashiru wazinguaji wote tuachieni nchi yetu
 
Mwanaccm yoyote lazima awe mnyenyekevu kwa polisi maana anajua uwepo wake madarakani unategemea nguvu ya polisi. Wa cdm hahitaji kujipendekeza kwa polisi kwani anajua polisi ndio waratibu wa wizi wa kura na kufumbia macho maovu ya viongozi wa ccm.
 
Leta wako basi mkuu wenye hoja ili tuchangie, kma huwezi hata kuanzisha uzi bora uache wanaoweza wa keep the time going...huoni umetukutanisha mi na wewe hapa ungekuwa ovyo hata tusingekutana humu kwenye uzi wake
Uzi wa hovyo,full stop!!!!!!
Hauna maisha marefu!
 
Nchi hii itachukua miaka mingi sana mpaka kuja kuongozwa na wapinzani,kama wapinzani wenyewe ndio hawa tuna safari ndefu sana na ccm hakuna kichaa ambaye yupo tayari kuharibu kura yake kuwachagua wehu kma hawa wasio na staha wao muda wote wanawaza vita tu badala ya kujenga hoja za msingi kabisa.
Kwahiyo unafikiri kuna watu wenye akili timamu wanaoweza kupanga foleni na kupiga kumchagua kichaa kuwa kiongozi?
 
Nchi hii itachukua miaka mingi sana mpaka kuja kuongozwa na wapinzani,kama wapinzani wenyewe ndio hawa tuna safari ndefu sana na ccm hakuna kichaa ambaye yupo tayari kuharibu kura yake kuwachagua wehu kma hawa wasio na staha wao muda wote wanawaza vita tu badala ya kujenga hoja za msingi kabisa.
pia Tanzania kuja kuendelea na kuwa na viongozi tofauti kutoka vyama tofauti itakuwa kazi sana-akili zako zinafanana kabisa na hao polisi walio muhoji lema na makamba.
 
Back
Top Bottom