Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

Kwa taarifa yako ni kwamba mwanamke wa about 30-45 ndiyo wenye KUIPOKEA na KUITOA real taste ya ngono.
Below & above of that ni wanafanya tendo but HAWAPATI & HAWATOI real ladha ya sex.
Pigia mstari maneno haya nikwambiayo, kwani siyatoi kichwani mwangu. Jaribu kufanya consultation na wataalafu wa category hii utakuja niambia.
 
mie sikushauri,

unless unatafuta mtu tu kwa ajili ya companion hapo sawa,ila kama unataka mpenzi na mzazi wa watoto wako huo umri umekosea ndugu,huo umri ni wa kuingia 'menopause'...ni ukomo wa hormones zinazoleta ashki ya mapenzi na uzazi.....so wewe sex ambayo ndio msingi wa mapenzi yoyote yale haitakuwepo, wala watoto ambao ni matunda ya mapenzi duniani hawatakuwepo....pima ktk ubongo wako kama huitaji hivi vitu na unampenda then kuwa naye kama ukipima na unahitaji hivi vitu maishani mwako then NO usiwe naye.....
 
jamani wana jf naombeni mnisaidie maana mm nina msichana nampenda na natamani aje awe mke wangu. kusema kweli nampenda nae ananipenda pia ila yeye kanipita na miaka kama 2. nilikuwa naombeni ushauri wenu kama nikijamuoa kutakuwa na tatizo.
 
Ndugu yangu ata mimi binafsi nilikua najiuliza maswali mengi kiasi kwamba nilimkataa mtu ambaye alinizidi umri na likua ananipenda sana. lakini nimegundua mapenzi hayana umri, maana baadaye nilimempenda mtu ninaye mzidi umri but amenifanyia kitu kibaya, amenisaliti na sasa namkumbuka yule aliye nizidi umri.

Angalizo: interval ya umri kati yako na huyo unayetaka kumuoa isizidi sana akikuzidi miaka miwili au mi tatu siyo mbaya, vinginevyo italeta shida baadaye.

Tatizo ni la kisaikologia zaidi,
kwa kawaida mwanaume ndiye anayezidi umri, sasa ikitokea mwanaume anamzidi mwanamke maswali yanakua mengi.
watu wanadhani kuoa mtu aliyezidi umri mwanamke atazeeka mapema, au jamii inayo tuzunguuka itakuchukilia kana kwamba umerubuniwa, kitu ambacho siyo kweli. Mbali na hayo kutokujiamini nitatizo lingine linalo sumbua. mwanamke kama anakupenda anakupenda tu. Biblia inasema mume ni kichwa cha nyumba na atabaki kua kichwa tu. jambo la msingi angalia kama huyo mwanamke anakupenda kwa dhati nawewe unampenda.

Sikiliza moyo wako na siyo watu!
 
miaka miwili sio mengi, hata 10 sio mengi iko poa tu.
Cha muhimu na yeye akupende tu na kukuheshimu.
Hasara zinaweza kuwepo hata kwa uliemzidi wewe umri
 
Nimependa maelezo ya Interlacs.... BTW Ngorika mind saying una Umri gani; kama you mind usijali.....
 
Umri utaishia kwenye birth certificate yake........angalia mambo ya msingi kwanza
Unajua waweza mpenda yeye na ukakuta ana personality usiyotaka hata kuisikia?????
 
jamani wana jf naombeni mnisaidie maana mm nina msichana nampenda na natamani aje awe mke wangu. kusema kweli nampenda nae ananipenda pia ila yeye kanipita na miaka kama 2. nilikuwa naombeni ushauri wenu kama nikijamuoa kutakuwa na tatizo.

Ngorika am a married woman, 2 years older than him.....i love and respect my hubby very much aisee.....huwezi jua hilo hata sisi tumesahau hili
 
yote yaweza kuwa sawa kwani wanadai mapenz ni upofu bt inashauliwa na kwa zamani ilikuwa inazingatiwa sana kwamba men should b older than women na miaka yakuwapita wanawake ilikuwa ni yakutosha kuanzia mitat had kumi anapitwa mwanamke na ndivyo nnavyojua sasa hii nyingine naona kama kwangu ngum kumeza au ndio mabadiliko lol!
 
Mwanamke akikuzid umri miaka mingi akikaa uchi unaweza kimbia as if umemchungulia mbibi sasa sijui uwanjan confidence zitatoka wapi! Mmm naenda kunywa kahawa napita tu...
 
483797_251640951595257_100002480636332_520200_1019601807_n.jpg
 
jamani wana jf naombeni mnisaidie maana mm nina msichana nampenda na natamani aje awe mke wangu. kusema kweli nampenda nae ananipenda pia ila yeye kanipita na miaka kama 2. nilikuwa naombeni ushauri wenu kama nikijamuoa kutakuwa na tatizo.

Hamna shida, ili mradi mnapendana. Tena huyu atakupenda kama mdogo wake, hatataka kukukwaza, maana ataona wewe ni dogo, dogo, kwa hiyo ni rahisi kupata mtu na kumwacha yeye, mchukue tu dogo.
 

Nimekugongea like kwa jinsi ulivyowakilisha jibu lako na mawazo yako kwa njia ya picha bila ya kuandika kitu.

LAKINI sikubaliani na maoni yako - maana asilimia kubwa ya wanaume wanayofanyishwa hivyo vya kupika na wake/wanawake zao hufanyiwa na wanawake walio-wadogo kuliko wao kiumri - tena utakuta ni wadogo saaana.

Wewe jaribu kuchunguza.
 
Umri is not an issue, hiyo miaka miwili ni midogo watu wanapishana mpaka zaidi ya miaka 10 and are happily married. Ukiamka asubuhi usisahau shikamoo ya watu :)
 
tafuta wa umri wako weew
apa tu ushaanza kuwa na kigugumizi ukiweka ndani afta 3yrs ndo kabsaaaaaaaaaaaaa......unaonyesha hauna amani.wasiwasi kibao...toka uko kuwa na wako uliyemzidi ata tarehe moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom