Tofauti ya "Software" na "program" ni ipi?

blue bahari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
594
500
Habari zenu wapendwa!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua utofauti kati ya "software" na "program" ambazo kimsingi zote zinatumika kwenye kompyuta. Na pia nahitaji kujua mfano wa "Softwares" na " programs" ktk kompyuta.
Nauliza swali hili kwa kuwa toka mda mrefu nimekuwa Nikichanganyikiwa kujua tofauti zao, sababu miaka ya nyuma (kabla sijajua kukutumia kompyuta vizuri) nilidhani ni kitu kimoja. Sina taaluma ya IT wala "Computer Science ".
Karibuni kwa ufafanuzi.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,952
2,000

Sina utaalamu, but intuition tells me that software is a generic term while a program is specific for a certain function in the software arena!:D:D:D:D software is made up of a bunch of programs!
 
Bado sijakuelewa, toa mfano wa software na program.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,952
2,000
Bado sijakuelewa, toa mfano wa software na program.
siyo mtaalamu lakini intuition inanielekeza kuwa say App ya ITV inaweza kuwa imetengenezwa kwa software yenye vi program kadhaa ili iweze kufanya kazi iliyokusudiwa..... All in all unaweza ku google ukapata jibu sahihi. mimi sijagoogle najaribu kutumia intuition!
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,920
2,000
Habari zenu wapendwa!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua utofauti kati ya "software" na "program" ambazo kimsingi zote zinatumika kwenye kompyuta. Na pia nahitaji kujua mfano wa "Softwares" na " programs" ktk kompyuta.
Nauliza swali hili kwa kuwa toka mda mrefu nimekuwa Nikichanganyikiwa kujua tofauti zao, sababu miaka ya nyuma (kabla sijajua kukutumia kompyuta vizuri) nilidhani ni kitu kimoja. Sina taaluma ya IT wala "Computer Science ".
Karibuni kwa ufafanuzi.

1. Program Zote ni software.
2. Software ni maelezo (Instructions) zinazotumika kwenye computer ambazo sio Tangible yaani huwezi kuvigusa au kushika. Kinyume cha software ni Hardware.

3. Software zipo za aina kadhaa:
- System software (Operationg system) kama vile windows OS, Mac OS, Linux OS etc(Hii sio program)

- Firmware , Haya ni maelezo/instruction mama ambayo inatangulizwa kwenye Chip (IC) kabla ya kitu chochote( hii sio program)

- Application Software kama vile MS Office, Adobe, Nero etc (Hizi ndio pia zinaitwa Programs na huwa zinawekwa baada ya OS na ndizo mtumiaji wa computer device anazitumia kufanya mambo yake.)

- Utility Software (program ndogo ambayo inafanya kazi maalum, kama vile Disk management au kile unachotumia kuongeza sauti kwenye computer ambayo ipo ndani ya OS i.e ya windows hii pia ni program ingawa inakuwa embeded kwenye kitu fulani).
 
Nashukuru kwa maelezo mazuri, nimepata mwanga.
 
blue bahari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
594
500
siyo mtaalamu lakini intuition inanielekeza kuwa say App ya ITV inaweza kuwa imetengenezwa kwa software yenye vi program kadhaa ili iweze kufanya kazi iliyokusudiwa..... All in all unaweza ku google ukapata jibu sahihi. mimi sijagoogle najaribu kutumia intuition!
Nilijaribu ku-google, lakini bado sikuelewa vema.
 
medisonmuta

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
1,315
1,500
Ngoja nijaribu. Ukisema software unazungumzia ujumla ambamo kuna programs tofauti zinafanya kazi fulani. Mfano, calculator ni software ambamo programs zake ni kujumlisha, kutoa na n.k...
 
Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
430
500
program ni single function pale inapokuwa kwenye non execution state( kwenye hard disk) ila inapokuwa kwenye execution state ( kweny Ram memory inaitwa process),
software ni muunganiko wa program mbalimbali mfano OS ni software kwa sababu imebeba program mbalimbali
 
Je, wanaposema "MS office " haiwezi kuwa software?
 
Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
430
500
Microsoft ina software mbalimbali mfano word,excel,powerpoint ndo maana inaitwa Microsoft package cos imebeba many software zenye different function
hapo ni zenye same function Example Microsoft office ina beba function za office uwez itumia nje na matumizi ya kiofice
 
Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
2,808
2,000
Program si neno la ki IT ni sisi TU tumeamu kulitumia IT wanasema APPLICATION SIKU HIZI MNAFUPISHA APP na hii Application ni tawi la SOFTWARE. Kwa kuwa software tunaigawa sehemu kuu mbili OPERATING SYSTEM (OS) NA APPLICATION SOFTWARE

MFANO : WINDOWS , LINUX NA ANDROID NI OPERATING SYSTEM SOFTWARE

MS WORD EXCELL, ADOBE , WHATASAAP ,IMO, NK NI APPLICATION SOFTWARE
 
Habuba

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
923
1,000
Program ni subset ya software

Software ni ile sehemu ya computer ambayo haishikiki (non tangible)
Kuna aina za software
System software ni instructions zinazo control basic operations of a computer.
Mfano oparating systems zote

Application software ni program zinakuwa designed kufanya specific task tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom