Tofauti ya sisi na wao

Tofauti ya sisi na wao

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BuwtvKJIYAAoESq.jpg:large
 
wao matajiri sisi masikini hujamwona masikinia hapo?
Hapa naviona vifisadi viwili kazini, kimoja kinakusanya ndege Loliondo kupeleka Falme za kiarabu,hicho kingine ni kimeddle man kinafanya mawasiliano na mfalme alete ndege fasta KIA kuchukua wanyama.Umasikini unatoka wapi hapa?
 
Nilijua sisi waafrika na wao, sasa nimeshaelewa
 
Msapinungu wao si mafisadi wao wana mapesa na hayana kazi ya kuzifanyia na ndo maana wanakuja huku na sisi kwa njaa na taama yetu tunawapokea na kuwa ruhusu wafanye watakavo na kuwa jazia ndege maliasili sisi tuko bezy na rasimu ya katiba
 
Back
Top Bottom