Tofauti ya Polepole, Mbowe, Slaa, Gwajima, Zitto & .com ni nini?

Tofauti ya Polepole, Mbowe, Slaa, Gwajima, Zitto & .com ni nini?

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
337
Reaction score
1,945
Wote ni wachumia tumbo,
Wote Ni matapeli,

Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo,

Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na magenge yote ambayo baada ya maslahi yao kuguswa ndio waliibuka kujifanya watetezi wa wananchi!!

Mpinzani wa kweli nchi hii ni yule ambaye hajawai kuyumba Wala kuyumbishwa, anasimama kwenye ukweli daima ila kauli ya Viete ilikuwa ni kauli ya kijinga Sana kuwai kutolewa na kiongozi wa umma.

Lissu + Heche ndio wapinzani pekee wanaweza kuniambia chochote nikakubali ila ukweli mchungu wengine wote wanakuwa na ajenda zao binafsi.


Huu ni ukweli mchungu.
 
Uko sahihi. Ila Dr Slaa namtetea. Yeye alikwazwa na gia iliyobadiliahwa angani akafanya Maamuzi ya hasira. Ndo maana waliompokea wanajua yaliyomsibu. Jawakutaka kumkwaza zaidi
 
Back
Top Bottom