ha ha ha!Wote, ni wake bora kuishi nao. Ikiwezekana Oa wote wawili.
Afya zenu, kimwili na kiakili zitaimarika .
kwa uandishi wako huo sijui kama utapata mke boraNaomba kujua tofauti ya mke nesi na mke maalumu
Yupi ni bora wa kuoa nesi au mwalimu?
MhMwalimu hafai.hata akiwa na ndoa hawajui kukataa
Mh!! Hafanyi night kitu gani?Nesi akipanda cheo hafanyi night