Tofauti ya mke nesi na mke mwalimu ni ipi?

Tofauti ipo huyo mwanamke utakaye mpata akili yake ikoje,nimeona manesi pasua kichwa vile vile nimeona walimu pasua kichwa.

Ila nesi anakutana na changamoto nyingi za wakware sasa kama na yeye ni bomu ndo kabisaaa kipa pazia, watu watatomba huyo ovyo ovyo.

Ila mwalimu anapata stress za wanafunzi akitoka shule kichwa kimevurugwa hana mda hata wa kuwaza ngono.

By the way,oa mwanamke asiye malaya bado wapo type hiyo.
 
Oa mwalimu mkuu, are the best wives. Pia hutokuwa na gharama ya ziada kuwalipia watoto tuisheni, mwalimu atawafundisha bure , labda wafike vidato vikubwa.
 
Ndio maana sisi tusionazo tunashia kucheza kwaito kwa wenye career zao![emoji848]
Yaani ni balaa shosti..tutacheza tuu za wenzetu tufanyaje sasa...maana wengine kazi zetu kufunga injini za scania...tutaposwa saa ngapi????
 
Ni shida, najuta kukimbia umande pengine na mimi ningekuwa ndoani sasa hivi.
Heri yako hata wewe unafunga injini mimi mwenzio ni kula kulala kabisa
 
Hahhahah woiii...usinchekeshe mie asbh hii😂😂afadhali ww kula kulala lakini uko soft soft...mwenzio nna msuli shwazniga akasome.. haya nani ataoa bondia???
 
Tetesi? Nasubiri isiwe Tetesi nichangie maoni yangu
 
Hahhahah woiii...usinchekeshe mie asbh hii[emoji23][emoji23]afadhali ww kula kulala lakini uko soft soft...mwenzio nna msuli shwazniga akasome.. haya nani ataoa bondia???
Amini nakuambia wewe bondia una nafasi kubwa ya kuolewa kuliko mimi kula kulala, kwanza wanaume wenyewe wa siku hizi ni walaini kuliko sisi sasa ulaini wangu utambabaisha saa ngapi?
 
Wote waweza kua bora maana tabia na hulka haiathiriwi na shughuli anayofanya mtu., ila nadhani kua na mwanamke asiye na ajira (carrier woman) ni bora zaidi maana kuna tofauti ya kimaumbile na kimajukumu kati ya mwanamke na mwanaume. Majukumu ya mwanaume ni tofaut na ya mwanamke, jukumu la kutafuta fedha na kutunza familia ni la mwanaume. Hua nawachekesha rafiki zangu kwa kuwaambia kua mwanamke mwenye ajira, kazi au mamlaka ya uongozi sio mwanamke ni mwanaume ila tu hana mpipi. Kuishi na mwanamke wa aina hii inabidi ujipange bru, ni kuish na mwanaume mwenzako ala tu yeye ana K, itakupasa kua mvumilivu SANAA. Unajua kua asilimia kubwa ya ndoa zinazovunjika ni zile za "carrie women" je wajua ajua nchi zinazoongoza kwa devoce rates ni nchi zinazohamasisha usawa wa kijinsia, hata humu jf uwanja wa mahusiano, nimegundua wanawake wengi wanaotafuta mume ni carrier women. amimi amini wakwambia, mfumo dume ndio njia bora kwa jamii na hili linakamilika pale mume anapokua the sole bread finder. Responsibility brings Authority and Respect. Sasa kuna watakaosema kua kuoa mwanamke mfanya kazi inaleta maendeleo mapema kwasabab ya kusaidiana, kwanza niseme SIAMINI KATIKA DHANA YA KUSAIDIANA NA MWANAMKE. Hii dhana imekaa kizembe zembe, kimwanaume wa dar, mwanaume mzima anajitetea kutaka kusaidiwa kuleta maendeleo seriouslly ?..! Wanawake ndo wanapenda kusaidiwa na mwanaume pia anataka asaidiwe ?! Nadhani this is irresponsibility. Na kama mwanaume atataka "kusaidiwa" na mwanamke kuleta maendeleo basi akubali kugawana mamlaka, heshima na mke wake. Yani kuwe hakuna mume wala mke wote ni sawa, mwanamke akiamua kurudi saa sita usiku hakuna kuhoji. Mwisho naomba nitoe ushauri kua kama unaweza kumudu stress kila kukicha, malumbano, kushitakiana oa carrie woman, ila kama ungependa kuishi kwa amani tele oa house wife. Ushauri wa mwisho sasa fanya unavyofanya ila usioe single mother afu ukuto ndo carrier woman aise aise
 
Haiba ya kike ni kuwa ng'aring'ari hata kama kula kulala unaweza okota dodo chini ya mdafu ukastirika...sasa mm kutwaaa napambana na vyuma chakavu,nani atataka ukamvunjie vyombo vyake??maana ukishika tuu glass imevunjika kwa ukomavu..
 
Ni shida, najuta kukimbia umande pengine na mimi ningekuwa ndoani sasa hivi.
Heri yako hata wewe unafunga injini mimi mwenzio ni kula kulala kabisa
Kwahio wote walioolewa ni wasomi?
 
Sitaoa kabisa mke mwenye kazi yake. Kama kazi ataipatia kwangu.
Labda muujiza umtokee huyo mwanamke.

Nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na hawa viumbe wetu.

Wapo wachache wanaojiheshimu na wenye mapenzi ya kweli na hawawezi ku-cheat ila kumpata ndiyo mziki.
 
Wote waweza kua bora maana tabia na hulka haiathiriwi na shughuli anayofanya mtu., ila nadhani kua na mwanamke asiye na ajira (carrier woman) ni bora zaidi maana kuna tofauti ya kimaumbile na kimajukumu kati ya mwanamke na mwanaume. Majukumu ya mwanaume ni tofaut na ya mwanamke, jukumu la kutafuta fedha na kutunza familia ni la mwanaume. Hua nawachekesha rafiki zangu kwa kuwaambia kua mwanamke mwenye ajira, kazi au mamlaka ya uongozi sio mwanamke ni mwanaume ila tu hana mpipi. Kuishi na mwanamke wa aina hii inabidi ujipange bru, ni kuish na mwanaume mwenzako ala tu yeye ana K, itakupasa kua mvumilivu SANAA. Unajua kua asilimia kubwa ya ndoa zinazovunjika ni zile za "carrie women" je wajua ajua nchi zinazoongoza kwa devoce rates ni nchi zinazohamasisha usawa wa kijinsia, hata humu jf uwanja wa mahusiano, nimegundua wanawake wengi wanaotafuta mume ni carrier women. amimi amini wakwambia, mfumo dume ndio njia bora kwa jamii na hili linakamilika pale mume anapokua the sole bread finder. Responsibility brings Authority and Respect. Sasa kuna watakaosema kua kuoa mwanamke mfanya kazi inaleta maendeleo mapema kwasabab ya kusaidiana, kwanza niseme SIAMINI KATIKA DHANA YA KUSAIDIANA NA MWANAMKE. Hii dhana imekaa kizembe zembe, kimwanaume wa dar, mwanaume mzima anajitetea kutaka kusaidiwa kuleta maendeleo seriouslly ?..! Wanawake ndo wanapenda kusaidiwa na mwanaume pia anataka asaidiwe ?! Nadhani this is irresponsibility. Na kama mwanaume atataka "kusaidiwa" na mwanamke kuleta maendeleo basi akubali kugawana mamlaka, heshima na mke wake. Yani kuwe hakuna mume wala mke wote ni sawa, mwanamke akiamua kurudi saa sita usiku hakuna kuhoji. Mwisho naomba nitoe ushauri kua kama unaweza kumudu stress kila kukicha, malumbano, kushitakiana oa carrie woman, ila kama ungependa kuishi kwa amani tele oa house wife. Ushauri wa mwisho sasa fanya unavyofanya ila usioe single mother afu ukuto ndo carrier woman aise aise
Safi sana.
Wakati mwingine kuchagua kuoa mke mwenye kazi ni kutojiamini kwa watoto wa kiume wa kisasa walio kama broilers. Wanaogopa majukumu yao.
 
Back
Top Bottom