Tofauti ya Mayor na RC

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
9
Jamani naomba ufafanuzi wa tofauti ya kimadaraka na kikazi kati ya Mayor na RC. Je kuna ulazima wa kuwa na vyeo hivyo viwili mkoa mmoja? Kwanin kisifutwe kimoja kupunguza gharama?
 
Yani ata mie huwaga najiulizaga sn ili swali yani kila cku..ngoja tusubiri magleti sinkers waje watujuze I realy need to be clarified on ths
 
Ni wazo zuri haliitaji kupuuzwa kama litajengewa hoja hasa baada ya kuangalia kama majukumu yao yanaingiliana au yana tofauti ndogo ambayo haina ulazima wa kuwa na nafasi hizo mbili.
 
Jamani naomba ufafanuzi wa tofauti ya kimadaraka na kikazi kati ya Mayor na RC. Je kuna ulazima wa kuwa na vyeo hivyo viwili mkoa mmoja? Kwanin kisifutwe kimoja kupunguza gharama?

Sio hiyo tu mi najiulizaga Waziri mkuu na makamu wa rais na sasa wako watatu nayo hii sio kula hela tu za wanyonge? Si tumpige chini mmoja tubaki na mmoja!!!!!!!!!!!!:teeth:
 
Back
Top Bottom