ila ni kweli nilikuwepo mwaka jana, bado umelala haujachangamka ule mkoaTabora kifupi mji ni kama umedumaa hivi, maisha yamekaa kiuswazi uswazi sana, mzunguko wa pesa hakuna ila maisha ni nafuu kutokana na wengi kuwa masikini.
Hali ya hewa ni kiubaridi fulani hivi kama cha Dodoma yaani kikavu kinapenya mpaka ndani.
Totozi nyingi za kufa mtu si unajua wanyamwezi tena na hivi vimichezo wanavyoendekeza.
Watu wake wengi wavivu ila wastaarabu , starehe classic sio sana wakati naondoka kulikua na kumbi mbili tatu za starehe kama bubbles night club na Royal club, zaidi ya hapo ni vigodoro kwa kwenda mbele hakunaga cha weekend wala weekenda.
Kifupi ni mji uliodumaa kimaendeleo japo mkongwe, kama umekulia Manzese au Tandale utakua unanielewa.
mbona zanzibar wanafungua saa 4 maduka yao na ikifika saa 7 wanaenda msikitini wanafunga, ni utaratibu tu, nilichokuja kufahamu ni kwamba yale maduka hawajaajiri watu wengine ni wao wenye maduka na ndio maana wanafungua time wanazotaka waoTabora watu wake ni wavivu kama mikoa mingine yenye asili ya umwinyi! Biashara inafunguliwa saa tatu asubuhi na mzunguko wa pesa ni kidogo sana! Ukiwa na gari ya aina yoyote utajulikana tu maana ni machache sana!
Kwahio tabora ni kama tanga tuTabora watu wake ni wavivu kama mikoa mingine yenye asili ya umwinyi! Biashara inafunguliwa saa tatu asubuhi na mzunguko wa pesa ni kidogo sana! Ukiwa na gari ya aina yoyote utajulikana tu maana ni machache sana!