Tofauti ya kuwa na mwanamke anayesoma na ambae hasomi

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Niaje waungwana?? Sijaonekana muda katika jukwaa hili..kwa wasionijua naitwa JUVENILE DAVIS a.k.a baba wa watoto watatu wa mama tofauti,au niite baba Travis,baba Sean,baba Maureen..leo nataka niwape somo kidogo wanaume kuhusu namna ya kuchagua mpenzi wa kuwa naye..nyie vijana ambao hamjaoa kama mimi msipende kudate na mademu ambao tayari wana maisha yao.unadate na demu ambaye tayari amepanga chumba au nyumba?unadate na demu ambaye anafanya kazi na anapokea mshahara? Unadate na demu ambaye anafanya biashara na anapata pesa? Unategemea kupendwa?? pole sana lafiki,,mwanamke wa namna hiyo hana mapenzi bali anakuwa bize na mambo yake ila anakuwa na mpenzi kimazoea tu..utaanza kuombwa hela ya kodi,mala hela ya umeme,mala hela ya maji,mala hela ya kula,mala hela ya mavazi,mala hela ya saloon,mala hela ya vipodozi n.k.ukimpa hela ndogo anaidharau maana yeye mwenyewe anajimudu vilevile.atakuomba hela ya simu yaani wana makorokoro kibao kiasi kwamba kama huna hela utapata tabu sana..ujue hawa viumbe wa kike ni wa ajabu sana,hata kama anafanya kazi lakini bado atataka wewe ndio umgharamie..sasa ni afadhari kudate na wanafunzi,wao ukiwapa elfu 10 wanahisi umewapa milion,atakupenda hatari,ukimpigia tu simu kutwa mala 5na mnaongea lisaa au dakika 40 basi hapo hatoki na hatoomba chochote kwako.ila sio wanafunzi wa sekondari (kuna jela miaka 30)..
 
Mada yako nzuri tatizo lugha uliyotumia siyo kabisa
Mala= mara
Rekebisha mkuu lugha yetu adhimu ya kiswahili iendelee kukua zaidi
 
Kwa sie wenye majukumu y kusomesha na kuhudumia wazaz hawa wanawake sio rafiki kwetu,nimekua nikigegeda mabinti wa shule watamu mno,sifa yao kubwa n kutokua na wivu wana msemo wao kizuri kula na mwenzio
 
kijana inaonesha una maisha safi sana, una watoto watatu na mama zao watatu, safi san kidume cha mbegu
 
Back
Top Bottom