Pole sanaMapenzi Ni mazuri Sana, unakutana na mtu mnapendana unaona kabisa yaani penzi Lina flow bila hata nguvu ya ziada.
Lakini tatizo Dini. Unaona kabisa Dini Ni kikwazo, Mimi katu Siwezi badili Dini yangu. Mwenzangu analazimisha nibadili...
Naona penzi langu tamu,zuri na maridhawa linakaribia mwisho. Inasikitisha Sana. Swali nimeulizwa, kwanini uliacha penzi lichipue namna hi Kama ulijua tangu mwanzo kuwa halina future. Jibu ninalo ila kapuni.
Mtaweza vipi kuwa kitu kimoja kama huwezi kukubaliana na tofauti zenu?Ndo Mana hatutumii maandiko yanayofanana...hayo maandiko Mimi siyajui
kama ndio ivyo jitaidi umpate wa dini yako mana usije ukaja kujuta uko mbeleniItabidi TU tuachane ...yeye akafunge yakanisani akimpata mwenzie
Mimi wazazi wangu wahana shida au niseme Mama ambae yupo hai.. Ila Mimi mwenyewe Nafsi inakataa kuwa na mahusiano haya.japo nampenda Sana.. Ila Kila siku upendo unapungua kwasababu ya diniMtaweza vipi kuwa kitu kimoja kama huwezi kukubaliana na tofauti zenu?
Hili suala nina experience nalo...mwanzo alikua ananiuliza sana napuuza. Mwisho yakatukuta, mtavutana ila yakifika kwa wazazi mtagonga ukuta.
Swali nimeulizwa, kwanini uliacha penzi lichipue namna hi Kama ulijua tangu mwanzo kuwa halina future. Jibu ninalo ila kapuni.
Naona Kama utafauti wetu wadini utakuja kuwa tatizo. Kila siku nawaza namna ya kumwambia tuachane..nashindwa. naacha TU kupokea Simu na sms sijibu..labda atajiongezakama ndio ivyo jitaidi umpate wa dini yako mana usije ukaja kujuta uko mbeleni
ukitaka kuua mausiano unaweza unaweza toka ukaenda mbali nae walau kwa mda Fulani utaweza kumkataa ila ata kuacha kumtafuta inaweza ikawa njia ya kupunguza ukaribuNaona Kama utafauti wetu wadini utakuja kuwa tatizo. Kila siku nawaza namna ya kumwambia tuachane..nashindwa. naacha TU kupokea Simu na sms sijibu..labda atajiongeza
Babe naomba inifuate kwenye upagani wangu mpenzi?Kwangu mie nikipendana na wa dini tofauti na yangu nabadili tu kwa ajili yake kama akitaka
Huwa naamini Mungu ni mmoja
Hongera. Mwenzangu alitoa wazo. Kama kweli tunapendana, basi tujitoe mhanga wote dini tuache.Mimi wazazi wangu wahana shida au niseme Mama ambae yupo hai.. Ila Mimi mwenyewe Nafsi inakataa kuwa na mahusiano haya.japo nampenda Sana.. Ila Kila siku upendo unapungua kwasababu ya dini
Babe naomba inifuate kwenye upagani wangu mpenzi?
Sasa Mimi Dini yangu naiachaje..yaani tuanze kiamini jua au mwezi. Hapana.. NATAKA imani yangu kwa Mungu ikue Sana...Ni jambo naloliomba..naona kuwa naye..itafifisha imani yangu.Hongera. Mwenzangu alitoa wazo. Kama kweli tunapendana, basi tujitoe mhanga wote dini tuache.
Kwa experience yangu naamini inawezekana.
Lakini itabidi mkae chini mchore mistari na kanuni wapi misimamo ya dini inaingiliana, wapi ishikwe na wapi ilegee.
Simple kweli kweli, ila subiri mzae ndio utauona huo usimple kuwa ni complexMahakamani mbona simpo tu!
Tena mkimaliza kufunga ndoa mnatoka nje pale mnakula mihogo na kachumbari then haooo mnapanda bajaj wote wanne bajaj moja mnatosha kabisa