swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,251
- 1,467
Ni muda sasa toka nianze kufuatilia habari ktk mitandao ya kijamii hasa jf na fb.
Nimefuatilia wachangiaji ktk jukwaa ka siasa na habari na hoja mchanganyiko nikagundua machache haya yanayotofautisha wenye mitazamo ya vyama hivi viwili:
Kwanza nimegundua kuwa wengi waleta hoja ni wale wa mlengo wa chadema na wale wa mlengo wa ccm wamejipanga kupangua hoja tu hawaleti hoja labda kuwe na tukio ka kisiasa.
Pili wanaojipambanua kuwa upande wa ccm wanatumia lugha kali kuliko hoja zaidi.
Wanaccm wenzangu tulete mada za kuimalisha chama siyo kusubiri kupangua hoja za wenzetu kwani hatuna mada?