tofauti ya bb na nokia e 73


Uko sahihi kote kasoro kwenye file size, ukubwa wa file haimaanishi program ni bora, maprogram makubwa ya iOS ni inefficiency kwa mtazamo wangu.
Kwa anayetaka kununua smartphone sasa hivi kwa kweli hakuna sababu ya muhimu kununua Symbian, Nokia wanaiphase out Symbian in favor of WP7 pia kama unapenda BB ni bora usubiri BB 10 ambayo ni OS mpya itakayotoka mwaka huu.

Kama unataka Smartphone right now tafuta iPhone au high end Android kama uko teyari kulipa hela nyingi (Galaxy Nexus ni zaidi ya millioni kwa bongo) au nunua Android budget devices ZTE-Blade mimi natumia safi sana, value for money. Kwa bongo nakushauri sana Android.
 

Nimefanikiwa ku-install BB NIMBUZZ naweza kuchat bila kuwa na bb plan...yaani i real enjoying kwani naonekana online every time nanikitumiwa chat message either kutoka f/book, Y/messenger au Google T zinaingia na ku-pop up kwenye screen..
Niliweka bundle ya kwaida kwenye simu ya one day
 

Mtandao gani?
 
tofauti kubwa ni kuwa BB ni nyeusi sana
 

Mkuu acha kutupeleka,ukiwa hauna package huwezi pata online notification,WHY sababu pin number inayokuweka kwe BB packages haiko attached na RIM infrastructure so unaweza browse,na watsup inakubali kama uliwahi kujiunga once na unakuwa watumia servicebooks za BB kwenye access point ya mtandao husika
Nawasilisha
 

Jama sijaribu kumpeleka mtu...hakika sijajiunga na plan yoyote..lmwanzoni nilikua nikitumia hata hyo bb browser ilikua haiunganishi...baadae imekuja kukubali baada ya muda nikapata msg kutoka blackberry ikiniambia sasa nimeunganishwa na internet..miujiza haikuishia hapo nikaweka bandle ya tigo ya 450 per day..ndo nikafungua nimbuzz nikadownload na kuinstall...Cha kushangza mpaka sasa nabrowse na sikatwi pesa kwenye acc yangu wakati bandle nimejiunga like 3 days ago...Labda kama nimepewa free bb plan yakuanzia kama ipo..huo ndo ukweli
 

Messenger apps zote zinafanya kazi kwa ktumia normal internet plans..kasoro tu zile ambazo zimetengenezwa na RIM kama BBM,YMessenger,Gtalk,FB na twitter..bt IM+,Nimbuzz,Facebook Messenger,whatsapp na nyingine zinatumia tu TCP/APN connection.
 

uko sahihi mkuu! bado Apple na wao karibu wataitupa IOS yao.


After making plenty of
controversial comments
about Android,
Nokia CEO,
Stephen Elop, the Lumia-
maker has finally done the
unthinkable and yet the
inevitable; it has embraced
Google's platform.
With the
addition of a newly
announced Nokia Feo 800.

http://is.gd/nokand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…