Tofauti Onesho la Jide na FA katika picha:

Pole sana mkuu...

to the best of my knowledge, rafiki zangu wote wenye heshima, upeo na uwezo walikua kwa JIDE... na pia nafahamu vichecche, mabange (clouds ni home of the drug addicts and alcoholics, and it is evidence based), complementarity mongers na watoto wa shule/chuo... Images dont lie

Huwezi kuwa na pesa, na akili na unaejua burudani ukazama kwenye ukumbi wa mhadhara kuangalia watu wakiFOKAFOKA, unless una akili upside-down!!

Tukija kwenye suala la mapato nadhani hata mtoto wa miaka mitano anajua tofauti... HIPHOP HAILIPI

MwanaFA the smart guy has accepted to be used in a silly battle of the mnyonyaji na mnyonywaji, shame on him na sasa promo imeisha, waliokunja wamekunja, he has himself to carry all the shame and pieces
Platinum Post.

Thread Closed!!
 
nyumbani lanchi walikuwepo makapuku,wavuta bangi,wazururaji,waropokaji ambao huwa wanapenda kuwasingiza wenzao kuwa wanasababisha umaskini walionao wakati kwa msomi mwanaFA walikuwepo wenye akili zao,pesa zao na wanaojua burudani ni nini so wamelilax wanaburudika.sura za pesa zinaonekana.

Ukweli unauma mkuu,jikaze kisabuni
 
Duh ile 15% ya marehem Ngwea unaweza ukakuta ni kama 180,000 tu! Wengi hapo wazee wa mtelezo (complementary) na wengine ni amri ya boss!



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom