Tofauti kati ya wanawake wa udom na udsm

Tofauti kati ya wanawake wa udom na udsm

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Kuna tofauti kubwa kati ya mabinti wa UDSM na wale wa UDOM. Mbali na kwamba wote ni wazuri na wamemeenda vidato lakini zipo tofauti kubwa baina yao zinazowatofautisha. Kwa ujumla tofauti zao ni hivi zifuatazo;

Muonekano (image) Binti wa UDSM mara nyingi atapenda avae vitu mpaka aonekane kama mwanamitindo. Atajiwekea make up za kila aiana japokuwa
tayari ana uzuri natural. Atataka avae fasheni mpya mpya zinazotokana kwa kuwa yuko town na mara nyingi hata kama boom haliruhusu kuna wananchi wengi wa kuwapiga mizinga. Nguo zao wananunulia Mlimani City, Quality Center, Makumbusho, Mwenge kwa White na maeneo mengine kama hayo. Jinsi wanavyovyaa unaweza ukawaogopa kudhani ni expensive saaaaana.

Binti wa UDOM kwa upande mwingine anavaa kawaida tu. Viatu vyake vya mchomekeo wanavinunua pale SabaSaba lakini waulize wavulana UDOM sasa,
watakwambia binti katoka bomba yule si mchezo. Viatu vyao ni bei za kawaida na huvumilia hali zote za hewa. Huwa shopping zao wanafanya Saba Saba.

UDSM huwezi kumpeleka binti kucheka movie room kwako! Sijui eti Hall 3 au ghetto Survey! Utampeleka Suncrest Quality Center au Mlimani City na hapo
uweke bajeti ya PopCon na mazagazaga kibao ya kucheki cinema.

Binti wa UDOM wewe tu na laptop yako unamkaribisha chumbani Block 9, 10, etc maeneo ya Haiti mnacheki movie huku mkinywa maji ya kudownload, bites za Discount shop au chai. Umemaliza.

Sehemu ya kukutania (Datelocation).Kama unadhani binti wa UDSM utampeleke room yako namba 2409 kule Hall 3 sahau! Kama huna ghetto la ukweli Survey au Sinza au Ubungo Maziwa au unamiliki nyumba kabisa jua imekula kwako.

Sehemu ya kukutania lazima iwe ya kueleweka na treatment isomeke vizuri kama misosi iliyosimama,Pizza, Burger, Chicken Chips, etc.

Hapo lazima Bamaga upajue vizuri,Mikocheni na Sinza. Kishushio Savanna au Red Bull. Mjomba huna hivyo UDSM utawapata wa kuhesabu kukusikiliza maelezo yakoya kuunga unga.

Binti wa UDOM yeye hata hajali.Wewe tu, uwe kule porini mnapaita Ng'ox au Social Room kwako atakuja. Mtengenezee chai kwa ule mkate wako wa juzi halafu anza kumwaga point zako. Huna haja ya kupajua Area D, Area C wala Lodge za Area A ila ukikosea ukakuta mwenye kaupepo ka jiji lazima
kuku wa Club Maisha na 84 ujuebei yake.

Upatikanaji wao (Availability) Binti wa UDSM atakuona akitaka kukuona si kinyume chake.

Ukimpigia simu mkutane atakupa sababu kibao utabaki kichwa kinakuuma ila yeye akikupigia simu mkutane hataki kusikia sababu yako hata moja. Anapenda yeye awe na control.

Binti wa UDOM yeye anaelewa principle ya give and take vizuri sana. Anaelewa mla lazima aliwe na anaelewa ili uhusiano uwepo lazima kila mtu aplay part yake.

Ukimpigia simu baada ya dakika au saa chache utamuona na wanapenda kutembea na wavulana wao campus. Kama unabisha angalia idadi ya mabinti wa UDSM wanaotembea na boys ndani ya campus na wale wa UDOM wanaofanya hivyo ndani ya campus.

Mtazamo wao kuhusu mapenzi (Perception of love) Binti wa UDSM atakupenda kwa ile ulichona nacho. Kichwa class, una hela au famous. Nje ya hapo ni wa
kuhesabu bro.

Binti wa UDOM atakupenda jinsi ulivyo hasa kama shule kasoma Songea huko kwao vijijini chuo katua Dodoma, ila ukikuta ana kahewa ka Dar kidogo lazima
utasanda.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mabinti
wa UDSM na wale wa UDOM. Mbali
na kwamba wote ni wazuri na
wamemeenda vidato lakini zipo
tofauti kubwa baina yao
zinazowatofautisha. Kwa ujumla
tofauti zao ni hivi zifuatazo;
Muonekano (image)
Binti wa UDSM mara nyingi
atapenda avae vitu mpaka aonekane
kama mwanamitindo. Atajiwekea
make up za kila aiana japokuwa
tayari ana uzuri natural. Atataka
avae fasheni mpya mpya
zinazotokana kwa kuwa yuko town
na mara nyingi hata kama boom
haliruhusu kuna wananchi wengi wa
kuwapiga mizinga. Nguo zao
wananunulia Mlimani City, Quality
Center, Makumbusho, Mwenge kwa
White na maeneo mengine kama
hayo. Jinsi wanavyovyaa unaweza
ukawaogopa kudhani ni expensive
saaaaana.
Binti wa UDOM kwa upande
mwingine anavaa kawaida tu. Viatu
vyake vya mchomekeo
wanavinunua pale SabaSaba lakini
waulize wavulana UDOM sasa,
watakwambia binti katoka bomba
yule si mchezo. Viatu vyao ni bei za
kawaida na huvumilia hali zote za
hewa. Huwa shopping zao
wanafanya Saba Saba.
UDSM huwezi kumpeleka binti
kucheka movie room kwako! Sijui
eti Hall 3 au ghetto Survey!
Utampeleka Suncrest Quality
Center au Mlimani City na hapo
uweke bajeti ya PopCon na
mazagazaga kibao ya kucheki
cinema.
Binti wa UDOM wewe tu na laptop
yako unamkaribisha chumbani
Block 9, 10, etc maeneo ya Haiti
mnacheki movie huku mkinywa
maji ya kudownload, bites za
Discount shop au chai. Umemaliza.
Sehemu ya kukutania (Date
location)
Kama unadhani binti wa UDSM
utampeleke room yako namba
2409 kule Hall 3 sahau! Kama huna
ghetto la ukweli Survey au Sinza au
Ubungo Maziwa au unamiliki
nyumba kabisa jua imekula kwako.
Sehemu ya kukutania lazima iwe ya
kueleweka na treatment isomeke
vizuri kama misosi iliyosimama,
Pizza, Burger, Chicken Chips, etc.
Hapo lazima Bamaga upajue vizuri,
Mikocheni na Sinza. Kishushio
Savanna au Red Bull. Mjomba huna
hivyo UDSM utawapata wa
kuhesabu kukusikiliza maelezo yako
ya kuunga unga.
Binti wa UDOM yeye hata hajali.
Wewe tu, uwe kule porini mnapaita
Ng’ox au Social Room kwako
atakuja. Mtengenezee chai kwa ule
mkate wako wa juzi halafu anza
kumwaga point zako. Huna haja ya
kupajua Area D, Area C wala Lodge
za Area A ila ukikosea ukakuta
mwenye kaupepo ka jiji lazima
kuku wa Club Maisha na 84 ujue
bei yake.
Upatikanaji wao (Availability)
Binti wa UDSM atakuona akitaka
kukuona si kinyume chake.
Ukimpigia simu mkutane atakupa
sababu kibao utabaki kichwa
kinakuuma ila yeye akikupigia simu
mkutane hataki kusikia sababu yako
hata moja. Anapenda yeye awe na
control.
Binti wa UDOM yeye anaelewa
principle ya give and take vizuri
sana. Anaelewa mla lazima aliwe na
anaelewa ili uhusiano uwepo lazima
kila mtu aplay part yake.
Ukimpigia simu baada ya dakika au
saa chache utamuona na
wanapenda kutembea na wavulana
wao campus. Kama unabisha
angalia idadi ya mabinti wa UDSM
wanaotembea na boys ndani ya
campus na wale wa UDOM
wanaofanya hivyo ndani ya campus.
Mtazamo wao kuhusu mapenzi
(Perception of love)
Binti wa UDSM atakupenda kwa ile
ulichona nacho. Kichwa class, una
hela au famous. Nje ya hapo ni wa
kuhesabu bro.
Binti wa UDOM atakupenda jinsi
ulivyo hasa kama shule kasoma
Songea huko kwao vijijini chuo
katua Dodoma, ila ukikuta ana
kahewa ka Dar kidogo lazima
utasanda.

Sio mahala pake hapa mkuu
 
this is the second side of the great thinker!!
 
umenikumbusha discout shop dah ingawaje sio mahali pake lakini ndo hivyo
 
Umepoteza muda wako woote kuandika UPUMBAVU huo!!!!
 
  • Huu utafiti umeufanyia wapi?
  • Bola hili bandiko ungepeleka kulee kwenye hoja mchanganyiko
Karibu
 
Ulichozungumza ni upuuzi mtupu,hakuna la ukweli ata1,aliyekuhadithia dada zetu wa udsm na udom wako ivyo kakudanganya,na ata ivyo si pahala pake apa.
 
wizara ya elimu ya juu inahitaji watafiti kama wewe kuwaajili, kwa nini usiombe nafasi hii nyeti?
 
wengi mnalaumu ila hakuna alosema ni kweli au si kweli,research kama hii ni nzuri sema ubovu wa akili zenu ndio unawatuma kupondea.
 
Umepoteza muda wako woote kuandika UPUMBAVU huo!!!!

sijawahi kuona ukipost ujanja ambao wewe unadhani unao kumbe huna embu rejea post zako ujione ulivo mjinga.
 
nipo humo mkuu


Hivi hizo tabia hao dada zetu wanafundishwa mavyuoni mpaka wote wafanane life style au me naona hapo umejaribu kutupa uhalisia kati ya mtu wa mjini na wakijijini...hivi pale udsm mabinti wote ni wa wazawa wa dar mpaka wajue kuchez na swaga za mjini...bado hujaniconvince asee
 
Back
Top Bottom