Tofauti kati ya tgts na tgs

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
240
65
Habari wana jukwaa naomba kufahamishwa utofauti uliopo kati ya TGTS na TGS kimaana.

Je, mtu ukiambiwa kuwa utaanza na mshahara wa TGTS C1 ni sawa na atakaeambiwa kuwa ataanzia na TGS C1?
 
Habar wana jukwaa naomba kufahamishwa utofauti uliopo kati ya TGTS NA TGS Kimaana na pia Je? mtu ukiambiwa kuwa utaanza na mshahara wa TGTS C1 ni sawa na atakaeambiwa kuwa ataanzia na TGS C1???


tgts ni scale ya walimu huku tgs ni kwa watumishi Wa serikali kuu na taasisi zake
 
Tgts =tanzania government teachers salary
tgs = tanzania government salary
 
Back
Top Bottom