Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
WanaJ, mimi bado niko njia panda, kwa sasa kuna mashindano ya CECAFA yanaendelea ambapo kuna timu ya Tz inafanya vizuri. Kwa nini mara ingine initwa Taifa stars na wakati mwingine Kilimanjaro stars? Ni wakati gani inakuwa Taifa stars na ni wakati gani timu yetu inaitwa Kilimanjaro stars? I am confused actually!!! Naomba ufafanuzi pliz!!!