Tofauti kati ya Kili Stars na Taifa Stars ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti kati ya Kili Stars na Taifa Stars ni nini?

Discussion in 'Sports' started by Mtego wa Noti, Dec 11, 2010.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  WanaJ, mimi bado niko njia panda, kwa sasa kuna mashindano ya CECAFA yanaendelea ambapo kuna timu ya Tz inafanya vizuri. Kwa nini mara ingine initwa Taifa stars na wakati mwingine Kilimanjaro stars? Ni wakati gani inakuwa Taifa stars na ni wakati gani timu yetu inaitwa Kilimanjaro stars? I am confused actually!!! Naomba ufafanuzi pliz!!!
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Halaf kumbe kmbe la Cecafa hata tukifungwa na ivory coast linabaki hapa tz...hii kweli ni neema.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Taifa star ni ile timu ambayo inaunganisha wachezaji wa bara na visiwani na kuwa timu ya taifa la Tanzania. Ikiwa zanzibar heroes/stars ni ile ambayo inajumuisha wachezaji wa zanzibar tu kama nchi lakini haitambuliwi na fifa. Kilimanjaro stars ni ile timu ambayo inajumuisha wachezaji toka Bara tu me napenda kuiita timu ya taifa la TANGANYIKA ingawa hawaiiti hili jina!

  Kuhusu kombe kubaki hapa hata kama tutafungwa si neema kwani ushindi utakuwa umekwenda kwa wageni na Zawadi/thamani ya pesa itakuwa imekwenda huko!
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Asante sana kaka kwa ufafanuzi mzuri sana. kumbe kuna umuhimu wa kukazana kesho ili tubaki na kombe hilo.
   
 5. Kilakshari

  Kilakshari JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kuongezea tu ni kwamba, unapozungumzia Cecafa, Zanzibar ni mwanachama wa Crcafa na pia Tanzania Bara ni mwanachama peke yake. Ila unapokuja kwenye CAF ni Tanzania( bara na visiwani) ndio mwanachama na sio mwanachama mmoja mmoja kama inavyotambuliwa na Cecafa. Ila mnaonaje kama hata kwenye mashindano ya CAF watanzania tukiingiza timu mbili kama ilivyo CECAFA?
   
 6. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Moja inatangaza utalii wetu kupitia Mlima na nyingine kupitia visiwa na marashi ya karafuu ya pwani...
   
 7. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #7
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mbona timu za Zanzibar hushiriki michuano ya Club Bingwa Afrika na kombe na mshindi ambalo hushikisha timu inayokuwa mshidi wa pili kwenye ligi ya nchi husika... hapa kuna utata au unieleweshe zaidi
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa wale wenye alergy na nguini
  Taifa stars=Zenji + Tanganyika na Kilimanjaro stars= Tanganyika
   
 10. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ufafanuzi wenu ni mzuri mno. naona leo kombe na minoti yote itabakia hapa bongo maanampaka sasa tunaongoza wa bao moja...
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Vimekwishabaki
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa nini watu wanajitaidi kulikwepa jina la Tanganyika wakati ZENJI wanatumia lao la Zanzibar
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  subiri kwenye hii katiba mpya tunayodai, hilo tutaliingiza ili watu wote wafahamu kuwa kuna tanzanyika. unajua watoo walio chini ya miaka 15 wengi haewajui kama kulikuwa na tanganyika...
   
 14. S

  SNAKE HOUSE Member

  #14
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo jina Hilo ... TANGANYIKA ... Halina mvuto !!!!
   
Loading...