Tofauti kati ya computer enginering na computer science

Fungakazi

Senior Member
Jan 11, 2012
174
127
WanaJF kuna hivi vitu vinanchanganya mimi nnapenda Computer engineering, ila kuna hii wanaita Computer science je ni nini tofauti zake? Na pia kuna kitu wanakiita Electrical and computer system eng. je hii nayo ni tofaut na computer eng.? Naomba pia kujua tofauti ya compt eng. na IT ntashukuru kwa msaada wenu.
 
computer science.....inahusu jinsi ya kutengeneza program ambazo zinatumika kwenye computer....na computer engineering inahusu ufundi wa kutengeneza vifaa vya computer.....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom