Tofauti Kati ya blog na website

Tofauti Kati ya blog na website

blog inategemea platform kama blogger, wordpress, n.k.
website inaweza kujibeba yenyewe...

blog iko kwa free
website siyo free unalipia

blog iko limited
webiste unakula urefu wa kamba yako..

blog nakutengenezea hata kwa 10K
webiste nakutengezea kuanzia 200K nakuendea

blog haitaji ujuzi mkubwa wacomputer..
website lazima uwe ujuzi mkubwa wa computer programming

kutengeneza blog ni dakika 30
website inakuwa muda mrefu

zinatosha hizo
Kimuonekano:
Blog inatiririka tu yaani "page" moja una scroll down all the way.
 
blog inategemea platform kama blogger, wordpress, n.k.
website inaweza kujibeba yenyewe...

blog iko kwa free
website siyo free unalipia

blog iko limited
webiste unakula urefu wa kamba yako..

blog nakutengenezea hata kwa 10K
webiste nakutengezea kuanzia 200K nakuendea

blog haitaji ujuzi mkubwa wacomputer..
website lazima uwe ujuzi mkubwa wa computer programming

kutengeneza blog ni dakika 30
website inakuwa muda mrefu

zinatosha hizo
Website ni ukurasa wa mtandaoni. Wowote ule... Nikianzisha www.zurie.com ni website; ikulu wana ukurasa wao wa mtandaoni, ni website, jamiiforums.com ni website.

Blogs nazo ni websites; yaani ni aina mojawapo ya website.

Sifa za Blog

Blogs zinakuwa na frequent updates kutoka kwa mwenye/wenye blogs, ziko interactive as in zina sehemu ya kucomment, taarifa mara nyingi zinapangwa kwa muda yaani zile mpya ndo utazikuta juu au mwanzoni. Generally blogs zinatumiwa na watu kufikisha taarifa mbalimbali endelevu.

Nimejitahidi kueleza, penye makosa au kutoeleweka vizuri naomba kusamehewa!
Tofautisha domains name na website au blog, kuita www.zurie.com hakutoi tofauti ya blog na tovuti.

Kiufupi kuna blog nyingi zenye domain ya .com,

Blog ni tovuti(website) ambapo muhusika huandika makala kwa ajili ya kutoa wanachokifahami ama kitu chochote kulingana na ujuzi wao.

Kwa mfano www.fikrapevu.com mtandao unaomilikwa na jamiiforum hii ni blog.

Kiujumla websites zimepewa majina mbalimbali kulingana na matumizi husika mfano kuna forums,blogs,vlogs nk.

So mtu anaweza akauliza tofauti ya forums vs website ni nini wakati ni kitu kilekile.

Hivyo kwenye blog zipo platform zinaoffer free services kuanzia hosting na domain mfano google blogger hautohitaji kununua hosting labda kama kubadili domain ndio utanunua na kuita www.zurie.com.

Na pia kuna blog services ambapo wakati mwingine itakupasa kununua hosting na domain mfano wordpress(pia wanayo blog ya bule) na pia kudesign.

Yote ya yote blog ni website na si kila website ni blog.

Na blog ni kifupi cha neno weblog.
 
Ni wapi nilipopingana na hiki ulichosema kwenye bold? Koma kuniquote kabla hujasoma na kuelewa!
 
Back
Top Bottom