Website ni ukurasa wa mtandaoni. Wowote ule... Nikianzisha
www.zurie.com ni website; ikulu wana ukurasa wao wa mtandaoni, ni website, jamiiforums.com ni website.
Blogs nazo ni websites; yaani ni aina mojawapo ya website.
Sifa za Blog
Blogs zinakuwa na frequent updates kutoka kwa mwenye/wenye blogs, ziko interactive as in zina sehemu ya kucomment, taarifa mara nyingi zinapangwa kwa muda yaani zile mpya ndo utazikuta juu au mwanzoni. Generally blogs zinatumiwa na watu kufikisha taarifa mbalimbali endelevu.
Nimejitahidi kueleza, penye makosa au kutoeleweka vizuri naomba kusamehewa!