Wote hawana tofauti, mwanaume ni yule ambae ni mwanaume... mwanaume utapendeza vipi kama mtoto wa kike?
Kuwa na kiasi sio poda
Kwahiyo Mwanaume hatakiwi kuwa Smart/kupendeza
Mwanaume smart ni yule ambae ni nadhifu kimavazi na wengi wao kichwani pia wana IQ kubwa
Sharobaro ni yule anaevaa vizuri lakini siyo proper ndo wakati mwingine wanavaa mlegezo ambayo haikubaliki na jamii
Sharobaro hawezi kuwa smart??
Vyote vivulana tu!