tonicJr
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 468
- 482
..Hata wewe ni Mvulana(mtoto wa kiume) siyo Mwanamme....ndio maana hujaridhika na alichokiandika mleta Mada...Hakuna logic hapa hata ukiambiwa uvalidate statement yako huwezi
..Hata wewe ni Mvulana(mtoto wa kiume) siyo Mwanamme....ndio maana hujaridhika na alichokiandika mleta Mada...Hakuna logic hapa hata ukiambiwa uvalidate statement yako huwezi
Hiyo 1 unajidanganya 100%.....wasichana wa leo? kwanza asilimia 60-70 ni Mama wauwaji wa viumbe visivyo na hatia...!!ktk wasichana 10 wenye Age kuanzia 17-25....4-7 wametoa mimba zaidi ya moja...ovaLakini pia wasichana wana mazuri yao,
1. Ni watamu kwa matumizi ya walaji (hawajatumika sana);
2. Hawaleti msongo wa mawazo, wanachukullia mambo ki-uwepesi katika uwepesi wake;
3. Ni rahisi kuwahimili, mahitaji yao ni kwaajili yao tu na siyo kwaajili ya familia zao (extended family and that kind of shit);
4.Ni rahisi kubadilika, wako katika kipindi rekebu (you can't teach an old dog new tricks); and
5. Ni mahsusi kwa ajili ya matumizi ya muda mfupi.
Daah! Mna maneno nyieMsumari wa inchi sita huoo
kwani uongo mama?Daah! Mna maneno nyie
Hakiri=AkiliUna hakiri ipi kati ya hizo mama?