Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Hakuna logic hapa hata ukiambiwa uvalidate statement yako huwezi
asanteeImekaa njema sana kiongoz
kwanini labdaHapo zamani nilikua mwanamke lakini sasa nimerudi kuwa msichana
wanawake wote wametokea kwenye usichana,kwa hiyo sio wote either wasichana or wanawake wenye tabia hizo ulizozianisha na sio woteSwadataaa
kwanini labda
Unadhani hilo lina ukweli wowoteNiligundua wanawake huonekana dhaifu na kudharauliwa kwa kuonesha uwanamke wao
Ni kweliwanawake wote wametokea kwenye usichana,kwa hiyo sio wote either wasichana or wanawake wenye tabia hizo ulizozianisha na sio wote
Mmh ila kuna ukweli hapa! Nimeipenda1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda.
2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao.
3. Wasichana huvunja mahusiano kwa sabubu zisizo na mashiko ila Wanawake wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwa sababu.
4. Wasichana hufikilia kuhusu mambo yaliyopo sasa ila Wanawake hufikilia kuhusu yajayo.
5. Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata ila Wanawake wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi).
6. Wasichana wanahitaji pesa ili kununua make-ups ila Wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanyia mipango ya maendeleo.
7. Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote ila Wanawake wanajua kwamba wanaume wote sio sawa.
8. Msichana "anajifunza" ila Mwanamke "anajua"
BY SIMPLE H
Unadhani hilo lina ukweli wowote
asanteMmh ila kuna ukweli hapa! Nimeipenda
Nadhani mtoa mada amelenga tabia hivyo haijalisha unaweza kuwa msichana lakini ukawa na tabia na matendo ya mwanamkeUmeandika ukiwa na mtizamo hasi kwa wasichana.Kwa nini umeweka mabaya tu upande wao?.
Ni kweli.1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda.