Tofauti 10 kati ya wanawake wanene na vimbaumbau hizi hapa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,545
22,050
Enyi wadau wa JF, hapa nimezungumzia tofauti zilizopo, Isitafsiliwe kwamba nawachukia wanawake wembamba Hapana, Bali nimejaribu kuonyesha tofauti 10 zilizopo.

Note; wanene hapa namaanisha wenye wezere kiasi cha mboga na umbo la kati na kuendelea ,Vimbaumbau ni wale walomyooka ka penseli yaani mhindi toleo la mwish o na ngozi iliyo kavu na mfupa.

Katika uchunguzi wangu, kati ya wanawake hawa, nimegundua yafuatayo;

1. Asilimia kubwa ya wanawake wenye roho mbaya duniani wengi ni wembamba, i.e, mtakubaliana na mimi hata hapa kwetu Tz ilivyo maofisini mwetu, secretary akiwa mwembamba huwa wanaroho mbaya sana hata ukitaka kuonana na Bosi utajibiwa hayupo wakati unamuona yupo.

2. Kazi ngumu ngumu hufanywa na wanawake wembamba kuriko wanene, ie, Askari wengi ni wanawake wembamba kuriko ilivyo kwa wanene,

3. Inasemekana Wanaume huona fahari sana kutembea barabarani na mwanamke mnene kuriko kutembea na kimbaumbau.

4. Wanaume wengi waliooa wanawake wembamba wanaongoza kwa umalaya na uchepukaji kuriko wale wenye wake wanene wengi huridhika na kuchepka kwao ni kudogo sana.

5. Mwanamke mwembamba inasemekana hana joto la kutosha kiasi kwamba mwanaume akipiga moja tu tena kwa mbinde, ni shida kusisimka kwa round nyingine hadi kimbaumbau ajitume kweli kuamshaamsha ukiringanisha na kwa wanene.

6. Wanaume wenye kazi nyingi na mabosi wengi wanapenda wanawake wanene kuriko wembamba kutokana na uvivu wa kuwamudu wembamba kutokana na papuch zao kuwa za baridi ukiringanisha na wanene ambapo mwanaume akiwa kachoka ana weza piga mzigo tako mbili tu na mzigo ukatu na akalala fofofofoh.

7. Wanaume waliooa wanawake wanene huwahi kurudi nyumbani kukaa na familia zao kuriko wenye wake wembamba.

8. Wanawake wembamba wengi wao hupatwa na ugonjwa wa msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo ukiringanisha na wanawake wanene.

9. Nyumba yenye mke mwanamke mnene inaufahari zaidi kuriko nyumba yenye mke mwanamke kimbaumbau.

10. Mwanamke mnene ni rahisi kuridhika na kustimusha kuriko mwanamke kimbaumbau na ndiyo maana katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia idadi kubwa ya wanawake wakitumia njia mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa. Wapo ambao wamekuwa wakitumia dawa za Kichina licha ya kuelezwa kuwa zina madhara.

Ndugu huu ni mtizamo tu msijenge chuki, ila kiukweli ewe unaejiandaa kuoa, kumbuka kuna watu wanaomba waachane kwahiyo ni vyema hata iweje jaribu kuchagua mwanamke mwenye namba D hata kiasi cha mboga kuriko ambaye hana kabisa kusema ukweli utakuwa umejipunguzia matamaa ya ajabu ajabu kwa usalama wa ndoa yako! USHAURI Kama vipi njia rahisi kwa wale tuliooa vimbaumbau tukazane kulisha kweli kweli ili angalau namba D isomeke. KARIBUNI

……………….Hutaki,kale malimao……………..
 
1)roho mbaya inakaa wapi ?

2)kazi ngumu hiyo kubeba zege au ?

3)umejuaje utafiti umefanya lini ?

4)sio kweli leta uthibitisho.

5)joto la binadamu lipo sawa au wanawake wanene wana joto la ndege??

6)acha uongo

7)wanaolalamika ni wanene kwa wembamba

8)vice versa is true

9)Hisia zako

10)mada yako ni unene au makalio ?

Hapa umeandika kwa hisia zaidi sio uchunguzi
 
akiyajibu hayo maswali, nitaamini haja copy na ku paste
 
6)
1)roho mbaya inakaa wapi ?

2)kazi ngumu hiyo kubeba zege au ?

3)umejuaje utafiti umefanya lini ?

4)sio kweli leta uthibitisho.

5)joto la binadamu lipo sawa au wanawake wanene wana joto la ndege??

6)acha uongo

7)wanaolalamika ni wanene kwa wembamba

8)vice versa is true

9)Hisia zako

10)mada yako ni unene au makalio ?

Hapa umeandika kwa hisia zaidi sio uchunguzi
KUNA baadhi ya makabila, kiasi cha mahari hutegemea na mzigo alionao binti, mwenye kikubwa analipiwa mahari ya maana
 
Aisee, Hatufanani kaka, wewe unaita upuuzi, ila kuna watu wamewahi ingia mtaroni kwa kushangaa hao viumbe, upuuzi kwako ni fursa kwa wengine.
Ah kwani kamaanisha kibono, au unene wa mwili. Maana kuna wanene wa mwili ukipishana nao, ukigeuka kuangalia alichobeba unaweza mdai fidia kwa kutia kichefuchefu. Mwanamke mnene asipobeba mzigo utamchukia, na unaposema mwembamba unamaanisha wembamba wa kiasi gani. Maana kiuno cha nyigu hakiuuundwi na mwanamke mnene, bali wanene huunda umbo la mende na miraba ya mbavu yaani nyama uzembe, wengine mpaka zinaning'inia. Hata hivyo hakuna mwanamke mrembo ambae ni mnene.
 
Mimi na majimama, majimama na mimi. Unalibinua halafu ukilipiga kikofi cha mtako, mawimbi hayooo yanatimbwilikaaaa...Halafu likikupa lap dance unapata shoo ya kufa mtu. Vimbaumbau halafu unakuta kiko flat kama kinaendesha malori mh....
mkuu maneno kuntu hayo. Kule kwetu haya mawimbi tunaita azam chapati. Sio mtu flat dizaini flani gonga mfupa
 
Kabla hujaanza kusoma maneno makali ya mtazamo wangu huku chini lazima niseme kwamba "wanaume wote wangekuwa na mtazamo kama huu basi wanawake wangekuwa na haki ya kutukanyaga tu kama watumwa wao", nimejisikia kuweka wazo langu hapa kwa sababu tu napenda ukweli, nina uhakika kwamba aliyendika hii thread alikuwa kwenye hali ya utani tu au alikuwa anataka achangie mada sehemu itakayowaita watu wengi, kwa hiyo na mimi nitajibu kwa hali hizo hizo za utani na kutaka kuonekana na mimi nina mtazamo wangu.

Kama unataka kuniambia kwamba kiasi cha mafuta kilicho mwilini mwa mtu kinahusiana moja kwa moja na ubaya au uzuri wa tabia yake basi kusingekuwa na maaana hata ya watu kupigana vita hapa duniani kwa sababu matatizo yote yangekuwa kitu kidogo sana kuyatatua, kama unatumia mfano wa secretary, basi kwanza inabidi ufikirie swala la kwamba mara nyingi agizo la kusema kama boss yupo au hayupo sio la secretary, kwa hiyo kusema kwamba yeye ndio mwenye tabia mbaya nao sio ukweli pia, mara nyingi wanaajiriwa kwa kuzingatia mwonekano(japo kuwa sio kitu kinachosemwa au kuzingatiwa sana), kwa hiyo ni kawaida kwa wao kuwa wembamba. Kama kwenye dunia ya leo unadhani secretary kukukatalia kumwona boss ni aina ya tabia mbaya basi jaribu kufanya kazi kwenye ofisi ili ujue kama ni rahisi kumwona kila mtu anayeingia.

Hakuna kazi raisi hapa duniani, hata watu wanaokaa maofisini wanaweza choka zaidi ya wale wanaokaa barabarani kuokota pesa za rushwa.Wanawake hao tunaosema ni wanene na wembamba wengi tu wapo kwenye maeneo ya kazi za umamantilie na kwenye maduka yetu ya kariakoo, sehemu ambazo wote tunaelewa ni mchakamchaka kila siku.

Naona wanaume umewaweka kuwa na akili raisi sana kwenye maelezo haya kwa sababu kama kuwa na mwanamke mwembamba ndio tatizo pekee lililomkimbiza mtu kuelekea kwenye njia za michepuko basi lazima kuna lingine liko nyuma, kama mwonekano tu ndio tatizo basi kwa nini ameliona hilo tatizo saizi tu.Kama mwanaume anaweza toa kisingizio kama "mwanamke mwenyewe mwembamba!" basi hana haki hata ya kuitwa binadamu kwa sababu kisingizio kama hicho hakina maana kabisa, maneno kama hayo wanasema watu wanokataa kujituma kufikiri.

Sijui umeingia kwanza kitandani na wanawake wangapi mbaka useme kiuraisi kwamba wanawake wembamba "hawana joto" kama ulivyosema hapo juu lakini nnachoelewa mimi ni kwamba kila mtu anajielewa yeye anapenda nini, kuweka tu kwa ujumla kwamba mazingira ya kila mtu yatakuwa sawa na kuleta matokeo sawa na uchunguzi wako itakuwa ni mbali sana na ukweli na kama itakuwa ni ukweli basi dunia kama hiyo isingekuwa na mabishano kama haya kwa sababu ukweli ungekuwa mmoja tu kwa kila mtu.

"Nyumba yenye mke mwanamke mnene inaufahari zaidi kuriko nyumba yenye mke mwanamke kimbaumbau" kusema msemo kama huu, ni wazi kwamba unaongea kwa kufwata kumbukumbu ulizonazo wewe na watu uliokutana nao, labda ndio watu waliokuzunguka ndio wanaokupa mtazamo kama huu, nyumba haiwezi ikawa na furaha au kukosa amani kwa kuzingatia kitu rahisi kama kiasi cha mafuta kilicho mwilini mwa mwanamke wa nyumba, maisha sio rahisi kiasi hicho, tutaishia wapi kama leo tukijidanganya kwamba tutayashinda maisha kwa kuhakikisha tu mwanamke tunayemuoa ni mnene.

Sijafika kwenye miaka ya ndoa kwahiyo sielewi ni nini hasa kinachofanya mtu asiweze kimbia majukumu yake lakini hata kama ningeambiwa kukisia basi nina uhakika kwamba mtazamo wangu usingieshia kusema kwamba mwanamke ntakayekaa nae maisha yangu yote bila kumsaliti awe tu na kiasi kikubwa cha mafuta mwilini, najua kwamba mwonekano unchangia kwenye kumpenda mtu kwa sababu ndio dunia hii inavyofanya kazi lakini watu inabidi tuanze kufikiria zaidi kidogo kabla hatujafanya maamuzi.

Ahsante! na mimi nimemaliza kuandika utani wangu ili watu muone, kwa mimi hata kuchangia kwenye mada kama hii ni kwa maana ya utani tu wala sioni hata maana ya mimi kumwelezea mtu yoyote ni kiasi gani hii thread inakimbia maana za ubinadamu, maana zilizotumika hapo juu wanaweza tumia wanyama ambao wazo lao moja ni kuacha wenzao kwa wingi wanavyoweza.
 
Back
Top Bottom