Today's prayer

kwani huyu wa kwetu anamfuat lini mwenzie wa Ghana? jana nilishtuka sana nikajua ni wa kwetu ndio kaenda
Dear God, please give us back Julius Nyerere and Edward Sokoine; in exchange we'll give you Jakaya Kikwete, Mizengo Pinda, Anna Makinda, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye and Livingstne Lusinde.
Sincerely, Me.
 
Ameen!

Good thinker, umefanya siku imesogea vizuri. Ongeza na lile lijamaa linaloitwa Job Ndungai.
 
sala itakua nzuri akichukua ccm wote kwa malipo ya nyerere tu
 
Dear God, please give us back Julius Nyerere and Edward Sokoine; in exchange we’ll give you Jakaya Kikwete, Mizengo Pinda, Anna Makinda, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye and Livingstne Lusinde.
Sincerely, Me.

umeenda mbali sana, kama ni utani, masihara angalia na unayemhusisha, MUNGU si wakumtania,kumpangia au kumdhihaki. Kwani yeye ndiye muumba na mpangaji wa maisha yetu. Kwa sala yako ni sawa na kumkosoa na unataka kumpangia mambo yake. Watch out ma fr
 
In addition we can give HIM mary nagu, rwakatare, Lukuvi , Nyangwine, Nkumba, Munde and Ole sendeka
 
umeenda mbali sana, kama ni utani, masihara angalia na unayemhusisha, MUNGU si wakumtania,kumpangia au kumdhihaki. Kwani yeye ndiye muumba na mpangaji wa maisha yetu. Kwa sala yako ni sawa na kumkosoa na unataka kumpangia mambo yake. Watch out ma fr

kama ndo hvo hakuna haja ya kusali coz kla k2 anapanga yeye.
 
Back
Top Bottom