.Nataka kujua ulikuwa ni mchezo gani huo sidhani kama ni american football
.Lingerie Bowl, American football inachezwa na lingerie tupu. Inachezwa muda wa half-time siku ya Super Bowl Marekani.
Kuna haja ya kuanzisha michezo kama hii hapa nyumbani.Lingerie Bowl, American football inachezwa na lingerie tupu. Inachezwa muda wa half-time siku ya Super Bowl Marekani.
Duh, cheki refa hata ha-concentrate kwenye mchezo..!.
Ha! ha! Siungi mkono hoja! Mkeshaji sasa ikitokea ajali kama hizi katikati ya mchezo ... itakuwaje?
.