Today last year I lost my Mother

Today last year I lost my Mother

Pole ndugu
Ninajua uchungu unaopitia maana hata mimi December nilimzika mama yangu baada ya kumuuguza kwa miaka 7.
Asee ninajaribu kujichangamsha lakini wapiii
Bora hata baba mzazi angekuwa na ubinadamu....lakini wapiii Ana roho zaidi ya mnyama.
Kila iitwapo Leo ninammiss mama yangu mpendwa aliyejua kunipenda kupita maelezoo...such a humble soul
Mungu nijalie siku ile ya ufufuo nikutane na mama yangu...
Pole sana, amini wakati utafika itakuwa kawaida!
 
Siku njema kwako pia ndugu mleta mada.
Pole sana pole mno!
Tupo hapa duniani kama wageni na wapitaji, marejeo ni kwa Mungu na wenyeji wetu kadhalika ni kwa Mungu pia.

Mwenyezi Mungu awajalie nuru ya milele.
Amina mkuu
 
Pole ndugu
Ninajua uchungu unaopitia maana hata mimi December nilimzika mama yangu baada ya kumuuguza kwa miaka 7.
Asee ninajaribu kujichangamsha lakini wapiii
Bora hata baba mzazi angekuwa na ubinadamu....lakini wapiii Ana roho zaidi ya mnyama.
Kila iitwapo Leo ninammiss mama yangu mpendwa aliyejua kunipenda kupita maelezoo...such a humble soul
Mungu nijalie siku ile ya ufufuo nikutane na mama yangu...
Pole sana mkuu Mungu wa Mbinguni akuponye majeraha
 
pole sana mkuu na wengine nyote mliopoteza wazazi, japo sijui maumivu yenu ila nimeshawwhi kuishi bila mzazi mmoja kwa miaka mingi tu, hivyo naelewa ni kwa kiasi gap la mzazi likiwa wazi hakuna anaeweza kuliziba

Mungu awatie nguvu
Asante sana mkuu
 
Pole.
Pengo la mzazi halizibiki hata angekuwa mzee wa kuzolewa.

Pole sana.

Let them Rest in Paradise.
 
Pole sana aisee...kazi ya mola haina makosa, kila nafsi itaonja umauti.
 
Back
Top Bottom