EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
- Thread starter
- #41
Amina mkuuPole sana jipe moyo tuendelee kuwaombea marehemu wote wapumzike kwa amani!

Asante sana mkuuPoleni sana wapendwa
Natamani iwe rahisi kama unavyoongeaPole sana jirani. Ruhusu mapito yapite ili maisha yaendelee.
Pole sana aisee...kazi ya mola haina makosa, kila nafsi itaonja umauti.

Namwamini sana MunguThanks sisterPole.
Pengo la mzazi halizibiki hata angekuwa mzee wa kuzolewa.
Pole sana.
Let them Rest in Paradise.

Jamaa we acha tuPole sana. Aisee yani mimi kuhusu mama usiniambie kitu
Sio rahisi ila ni kukubaliana na hali halisi mkuu,binafsi ni mwaka wa 23 sasa,nikikumbuka ni kama juzi tu.Natamani iwe rahisi kama unavyoongea
Amina, Mungu ni mwemaSio rahisi ila ni kukubaliana na hali halisi mkuu,binafsi ni mwaka wa 23 sasa,nikikumbuka ni kama juzi tu.
Mungu akutie ujasiri wa kulipokea.
Pole sana MkuuAmkeni mkajenge familia, na nkuijenga nchi, wenye changamoto za kiafya, kiuchumi MUNGU wa Mbinguni awasimamie.
Mwaka jana ndio mwaka ulionipa uchungu saaaana maishani mwangu maana nlipoteza mama na baba.
Najua kuna yatima wengi ila nazungumzia upande wangu.
Tarehe 4/2/2021 ndio siku mama yangu alipo aga dunia pale Mloganzila Hospital.
Tulimuuguza saana baba kwa miaka mingi ila yeye akatukimbia ndani ya wiki tu akatuachia baba tumuuguze sisi.
Halafu tarehe 4/9/2021 baba akakufuata akitokea pale Bochi hospital Kwa Msuguri.
Why tarehe4?????
Why mwaka2021???
Mungu nakuachia wewe
Lala mama yangu mpenzi ila nina tumaini hili kwa kuwa nina uhakika mahali ulipo.
I'm heart broken.
1 The 4:13-18 SUV
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
Siku njema wadau. Mungu wa Mbinguni awabariki na kuwasimamia katika kila jema mnalolifanya
Pole sana Mkuu
Mungu akawe mfariji wako
Kupoteza wazazi ni maumivu yasiyoelezeka...
Hakika ulipitia wakati mgumu sana. Yote katika yote tuamini wapo sehemu salama
Mungu awajalie pumziko tulivu!
** Hakika Hatutaki mzijue habari za waliolala.....

Yer 29:11 SUVAsante mkuu, Mungu ni mwemaPole sana mkuu.Mungu akutie nguvu
Nakushukuru sana sisPole sana Mkuu,Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu![]()

This day last yearYes, today last year
Pole mkuuAmkeni mkajenge familia, na nkuijenga nchi, wenye changamoto za kiafya, kiuchumi MUNGU wa Mbinguni awasimamie.
Mwaka jana ndio mwaka ulionipa uchungu saaaana maishani mwangu maana nlipoteza mama na baba.
Najua kuna yatima wengi ila nazungumzia upande wangu.
Tarehe 4/2/2021 ndio siku mama yangu alipo aga dunia pale Mloganzila Hospital.
Tulimuuguza saana baba kwa miaka mingi ila yeye akatukimbia ndani ya wiki tu akatuachia baba tumuuguze sisi.
Halafu tarehe 4/9/2021 baba akakufuata akitokea pale Bochi hospital Kwa Msuguri.
Why tarehe4?????
Why mwaka2021???
Mungu nakuachia wewe
Lala mama yangu mpenzi ila nina tumaini hili kwa kuwa nina uhakika mahali ulipo.
I'm heart broken.
1 The 4:13-18 SUV
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
Siku njema wadau. Mungu wa Mbinguni awabariki na kuwasimamia katika kila jema mnalolifanya

Asante dada ina my eyes are red for tearingPole mkuu
Mungu anaponya maumivu.
Waendelee kupumzika pema![]()
Unajua lugha??This day last year