Today is my graduation ceremony

Today is my graduation ceremony

Me nilijiunga jf kabla hata ya fb.. Nilijiunga nikiwa form 2 now niko chuo kikuuu.. Jf imenisaidia sana nimejifunza mengi...nimepata taarifa muhimu na nimeonekana mjuvi wa mambo kumbe ni jf tu ndio fimbo yangu.
Kwakweli imetusaidia sana jf
 
Bahati mbaya mie sina zawadi ya kitu kabisa kama vile ua au taji, shuka, gari, n.k ila NINA PESA TASLIMU je unapokea?
 
Bahati mbaya mie sina zawadi ya kitu kabisa kama vile ua au taji, shuka, gari, n.k ila NINA PESA TASLIMU je unapokea?
Hapana nahitaji tu pongezi mkuu.
Pesa wape wanaohitaji itapendeza zaidi
 
ndo maana wasomi wetu hadi wakae miaka milmwili kazini ndo wanaaminika kazi nyingi zinataka wazoefu sasa maanake nini , hawajiamini
Mm nadhani mfumo wetu wa elimu unatuumiza mkuu...mfumo wetu umebase sana kutengeneza watu wawe maacademician na sio watu wa practical tumesahau kazi ni practical..mtu umesoma shule& chuo miaka minne au mitatu practical namaanisha muda ambao umetumia kufanya practical hata nusu ya hyoo miaka uliyosoma yote chuo au shule haifikii
Nakumbuka mara ya kwanza baada ya kumaliza form six niliilaza kutumia jami forums.
Post yangu ya kwanza ilikuwa ni kuomba ushauri kozi nzuri ya kusoma.

Nilibahatika kupata ushauri wa kutosha na baadhi ya marafiki nikawapata humu kama Jonatus na Avatar mok.

Honestly i enjoyed collage life and i made alot of fursa when i was there.

Japokuwa nimekutana na misukosuko ya kutosha kama mnavojua maisha ya chuo niliweza kupambana mpaka nikakamilisha kilichonipeleka.

Naishukuru sana jamii forms members bila kusahau HESLB kwa kufanya maisha yangu yawe ya furaha.

Kama upo maeneo ya dodoma karibu sana ukumbi wa polisi jamii saa kumi kamili jioni.
0d6b8dd336169ae22e1f5c059e50121b.jpg

NB. Msisahau kuja na zawadi.
Coes eeh??
 
Mm nadhani mfumo wetu wa elimu unatuumiza mkuu...mfumo wetu umebase sana kutengeneza watu wawe maacademician na sio watu wa practical tumesahau kazi ni practical..mtu umesoma shule& chuo miaka minne au mitatu practical namaanisha muda ambao umetumia kufanya practical hata nusu ya hyoo miaka uliyosoma yote chuo au shule haifikii

Coes eeh??
Muda wa miaka mitatu hautoshi kufanya vitu vyote academic na practical ndio maan baada ya kuhitimu tunatafuta experience kwanza.
Nb. Not coes
 
Mm nadhani mfumo wetu wa elimu unatuumiza mkuu...mfumo wetu umebase sana kutengeneza watu wawe maacademician na sio watu wa practical tumesahau kazi ni practical..mtu umesoma shule& chuo miaka minne au mitatu practical namaanisha muda ambao umetumia kufanya practical hata nusu ya hyoo miaka uliyosoma yote chuo au shule haifikii

Coes eeh??
Not coes... In4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom