Today is my graduation ceremony

Today is my graduation ceremony

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,638
Reaction score
3,641
Nakumbuka mara ya kwanza baada ya kumaliza form six niliilaza kutumia jami forums.
Post yangu ya kwanza ilikuwa ni kuomba ushauri kozi nzuri ya kusoma.

Nilibahatika kupata ushauri wa kutosha na baadhi ya marafiki nikawapata humu kama Jonatus na Avatar mok.

Honestly i enjoyed collage life and i made alot of fursa when i was there.

Japokuwa nimekutana na misukosuko ya kutosha kama mnavojua maisha ya chuo niliweza kupambana mpaka nikakamilisha kilichonipeleka.

Naishukuru sana jamii forms members bila kusahau HESLB kwa kufanya maisha yangu yawe ya furaha.

Kama upo maeneo ya dodoma karibu sana ukumbi wa polisi jamii saa kumi kamili jioni.
0d6b8dd336169ae22e1f5c059e50121b.jpg

NB. Msisahau kuja na zawadi.
 
Hongera kijana njoo tulisukume hili gurudu maana naona lishaanza kuota pembe
 
Zawadi ni elimu yako uliyoipata, washukuru wadau wako, bodi ya mkopo na hongera kwa kumaliza salama,
 
Nakumbuka mara ya kwanza baada ya kumaliza form six niliilaza kutumia jami forums.
Post yangu ya kwanza ilikuwa ni kuomba ushauri kozi nzuri ya kusoma.

Nilibahatika kupata ushauri wa kutosha na baadhi ya marafiki nikawapata humu kama Jonatus na Avatar mok.

Honestly i enjoyed collage life and i made alot of fursa when i was there.

Japokuwa nimekutana na misukosuko ya kutosha kama mnavojua maisha ya chuo niliweza kupambana mpaka nikakamilisha kilichonipeleka.

Naishukuru sana jamii forms members bila kusahau HESLB kwa kufanya maisha yangu yawe ya furaha.

Kama upo maeneo ya dodoma karibu sana ukumbi wa polisi jamii saa kumi kamili jioni.
0d6b8dd336169ae22e1f5c059e50121b.jpg

NB. Msisahau kuja na zawadi.

Anakaribishwa sana

Asante sana
M
Hongera kijana njoo tulisukume hili gurudu maana naona lishaanza kuota pembe
 
Me nilijiunga jf kabla hata ya fb.. Nilijiunga nikiwa form 2 now niko chuo kikuuu.. Jf imenisaidia sana nimejifunza mengi...nimepata taarifa muhimu na nimeonekana mjuvi wa mambo kumbe ni jf tu ndio fimbo yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom