Today is my Bithday HBD Mimi

Attachments

  • 1419330311507.jpg
    40.5 KB · Views: 73
Last edited by a moderator:
Mungu akupe maisha marefu na uzidi kunenepa na kuwa kibonge

akupe haja za moyo wako na vilevile uwe baraka kwa wazazi wako

ila bestito mbona hujaniambia nikuanzishie THREAD hapa jamani
huujui kuwa mm nahusudu mambo haya? (jokes)
 
Asante sana Bestito may God grant me all your wishes....Am humbled kwakweli Yaani nimekuweka kiporo na mimi nasubiri Birthday yako nikuanzishie siredi kabisaaaa we nikumbushe tarehe tu...
 
Tutajie kabisa mingapi umefikisha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…