Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
.Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu nilizaliwa tarehe 18 march 198_, japo bado nimelazwa KCMC lakini namshukuru MUNGU kwani nimeweza kuiona siku ya leo na ninaendelea vyema, aidha nawashukuru wote kwa kuniombea dua kwa Mwenyezi Mungu nimefarijika sn na nimepata nafuu, pia nachukua fursa hii kuwaomba MUMUOMBEE FLORA MSOFFE AJIFUNGUE SALAMA, Mungu awabariki wote.
pole na hongera..ingekuwa poa na mwanao ungemzaa leo
Happy Birthday Angel!
198X, bado kinda sana, upone haraka ili uje kuenjoy na kutumukia taifa.
thank youPole, Mwenyezi Mungu akuponye maradhi zako kwa haraka na akuimarishie afya yako daima!
ahsante sana ila anayetarajia kujifungua ni FLORA si mimi.pole na hongera..ingekuwa poa na mwanao ungemzaa leo
thanks a lot. Happy birthday AM
yes mkuu itabidi iwe hivyoHBD Angela...so tunakata keki wodini ama??
Angel anaumwa Ila Flora ndo mjamzito mkuu.
asante sanaHappy birthday Angel, na mwenyezi mungu akufanyie wepesi ktk maradhi yanayokusumbua upone haraka.
ahsante sana Kongosho,Happy Birthday Angel! 198X, bado kinda sana, upone haraka ili uje kuenjoy na kutumukia taifa.
Umejuaje? Je kama wote ni wajawazito? Lol
kweli anayetarajia kujifungua ni FLORAUmejuaje? Je kama wote ni wajawazito? Lol