Tobaaaa!! Ipe Neno hii

Tobaaaa!! Ipe Neno hii

mgeni wa kupanda hiyo kitu.atakuwa aogopa huyoo atiii
 
imagine wewe ndio mwendesha hiyo pikipiki
 
Inawezekana pia amepiga ulabu sana hivyo jamaa wa toyo akaamua kumwambia amkumbatie hivyo ili asimdondoshe
Ukiangalia kwa vizuri huyu aliebebwa

1. kalegea sana

2. kansinzia machoni

3. Kafunga mikono kwa kulazimisha hana furaha

Maana yake huyo ni mgonjwa inawezekana anapelekwa au anarudishwa hospitali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom