BATTO
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 282
- 207
Ukiangalia kwa vizuri huyu aliebebwa
1. kalegea sana
2. kansinzia machoni
3. Kafunga mikono kwa kulazimisha hana furaha
Maana yake huyo ni mgonjwa inawezekana anapelekwa au anarudishwa hospitali
Kidogo hii inaniingia akilini nje ya hapo dungadunga tu huyu..,
