Tobaaa!!!

ni kweli ninachokiona ama? na ni timu gani hizo? embu ongeza maelezo kidogo.
 
hahahahaaaaaaaaa!duh! Hii kali, njemba ndani ya strings?
 
Hahahahaaaaaaaaa,nimecheka tu lakini sijashangaa lol!
 
Hio ni njia mbadala mana hizi zakawaida huwa zinachuna ukikimbia sana hahaahaa
 
Hakisawa! Lakini sio ile ya CUF. Ni ile ya usawa wa uwakilishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…