Rost-Time kaingia, anga limechafuka ghafla, majanga mfululizo

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
"ATCL" imerudia kuwa ATC.."Any Time Cancelation!"
"Kenya Airways"Mgomo mkubwa unaendelea!
"Precision Air" chubwiii kwenye maji.

Na ndio kwanza mjomba kainunua Kosti-Aviwasheheni! kampuni ya mtaliano aliyefariki hivi karibuni pale Dar Es Salaam.

Kwenye Mitandao ya simu nako, tangu ameingia mjomba.
Bundle za Internet zinazidi kupungua, huku bei ikizidi kupanda.

#Nape yuko kimya tangu then....mdomo ulipojazwa asali, toka buyu la Mjomba!

Ni hivi majuzi tu, mjomba aliinunua ile kampuni ya Tu-go!

Kwenye Mitungi ya Gas nako, tunamuona Waziri wa Nishati, ameacha ofisi na kuingia mtaani na vijijini kufanya promosheni ya Twafa-Gas!

Tumeshuhudia Saa-100 akituteulia kikosi kazi cha kutafuta namna ya kampuni ya Mjomba. Twafa-Gas itakavyowezeshwa kupewa kandarasi ya kuisambaza gesi yake na serikali kwa kila taasisi na kila kijiji.

Ni hivi karibuni mjomba alifanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Gesi kupitia kampuni yake ya Twafa-Gas!

Huku tunaona mjomba akizidi kujiweka sawa kumbadili huyu wazo-la-mkuu.

Ili safu yake itimie.
Sababu kati ya woote walioko, kuanzia Msogee hadi Zenji, na kuanzia Bumbu-wali hadi Mitamaa

Kote amepashika mjomba!
Tatizo liko hapa Kwa huyu wa Rua-angwa bado kuna kizuizi, buyu la mjomba linakwama kuingia kooni mwa Rua-angwa!

Hivyo inaonekana wazi ni kutafuta kuondoka kwa Majaaliwa ya Mungu!

Tobaaa!

Wa kunielewa tuko wote!
Niko siti ya mbele kidogo.

Yanayokuja Yanakerehesha!
10101 Alamsiki!
 
"ATCL" imerudia kuwa ATC.."Any Time Cancelation!"
"Kenya Airways"Mgomo mkubwa unaendelea!
"Precision Air" chubwiii kwenye maji.

Na ndio kwanza mjomba kainunua Kosti-Aviwasheheni! kampuni ya mtaliano aliyefariki hivi karibuni pale Dar Es Salaam.

Kwenye Mitandao ya simu nako,tangu ameingia mjomba.
Bundle za Internet zinazidi kupungua,huku bei ikizidi kupanda.
#Nape yuko kimya tangu then....mdomo ulipojazwa asali,toka buyu la Mjomba!

Ni hivi majuzi tu,mjomba aliinunua ile kampuni ya Tu-go!

Kwenye Mitungi ya Gas nako,tunamuona Waziri wa Nishati,ameacha ofisi na kuingia mtaani na vijijini kufanya promosheni ya Twafa-Gas!
Tumeshuhudia Saa-100 akituteulia kikosi kazi cha kutafuta namna ya kampuni ya Mjomba ..Twafa-Gas itakavyowezeshwa kupewa kandarasi ya kuisambaza gesi yake na serikali kwa kila taasisi na kila kijiji.

Ni hivi karibuni mjomba alifanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Gesi kupitia kampuni yake ya Twafa-Gas!

Huku tunaona mjomba akizidi kujiweka sawa kumbadili huyu wazo-la-mkuu.

Ili safu yake itimie.
Sababu kati ya woote walioko,kuanzia Msogee hadi Zenji,na kuanzia Bumbu-wali hadi Mtama.

Kote amepashika mjomba
Tatizo liko hapa Kwa huyu wa Rua-angwa bado kuna kizuizi.
Hivyo inaonekana wazi ni kutafuta kuondoa kwa Majaaliwa ya Mungu.

Wa kunielewa tuko wote!
Niko siti ya mbele kidogo.

Yanayokuja Yanakerehesha!
10101 Alamsiki!
Kwamba VOICER nawe unaripoti Kutokea 0101?

Anyway tupo mwaka mpya wa kiyahudi tangu Oct 1. Tayari tumeuanza mwaka mpya 2023.
 
"ATCL" imerudia kuwa ATC.."Any Time Cancelation!"
"Kenya Airways"Mgomo mkubwa unaendelea!
"Precision Air" chubwiii kwenye maji.

Na ndio kwanza mjomba kainunua Kosti-Aviwasheheni! kampuni ya mtaliano aliyefariki hivi karibuni pale Dar Es Salaam.

Kwenye Mitandao ya simu nako,tangu ameingia mjomba.
Bundle za Internet zinazidi kupungua,huku bei ikizidi kupanda.
#Nape yuko kimya tangu then....mdomo ulipojazwa asali,toka buyu la Mjomba!

Ni hivi majuzi tu,mjomba aliinunua ile kampuni ya Tu-go!

Kwenye Mitungi ya Gas nako,tunamuona Waziri wa Nishati,ameacha ofisi na kuingia mtaani na vijijini kufanya promosheni ya Twafa-Gas!
Tumeshuhudia Saa-100 akituteulia kikosi kazi cha kutafuta namna ya kampuni ya Mjomba ..Twafa-Gas itakavyowezeshwa kupewa kandarasi ya kuisambaza gesi yake na serikali kwa kila taasisi na kila kijiji.

Ni hivi karibuni mjomba alifanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Gesi kupitia kampuni yake ya Twafa-Gas!

Huku tunaona mjomba akizidi kujiweka sawa kumbadili huyu wazo-la-mkuu.

Ili safu yake itimie.
Sababu kati ya woote walioko,kuanzia Msogee hadi Zenji,na kuanzia Bumbu-wali hadi Mitamaa

Kote amepashika mjomba!
Tatizo liko hapa Kwa huyu wa Rua-angwa bado kuna kizuizi,buyu la mjomba linakwama kuingia kooni mwa Rua-angwa!

Hivyo inaonekana wazi ni kutafuta kuondoka kwa Majaaliwa ya Mungu!

Tobaaa!

Wa kunielewa tuko wote!
Niko siti ya mbele kidogo.

Yanayokuja Yanakerehesha!
10101 Alamsiki!
Twafa Gas 😅
 
"ATCL" imerudia kuwa ATC.."Any Time Cancelation!"
"Kenya Airways"Mgomo mkubwa unaendelea!
"Precision Air" chubwiii kwenye maji.

Na ndio kwanza mjomba kainunua Kosti-Aviwasheheni! kampuni ya mtaliano aliyefariki hivi karibuni pale Dar Es Salaam.

Kwenye Mitandao ya simu nako,tangu ameingia mjomba.
Bundle za Internet zinazidi kupungua,huku bei ikizidi kupanda.
#Nape yuko kimya tangu then....mdomo ulipojazwa asali,toka buyu la Mjomba!

Ni hivi majuzi tu,mjomba aliinunua ile kampuni ya Tu-go!

Kwenye Mitungi ya Gas nako,tunamuona Waziri wa Nishati,ameacha ofisi na kuingia mtaani na vijijini kufanya promosheni ya Twafa-Gas!
Tumeshuhudia Saa-100 akituteulia kikosi kazi cha kutafuta namna ya kampuni ya Mjomba ..Twafa-Gas itakavyowezeshwa kupewa kandarasi ya kuisambaza gesi yake na serikali kwa kila taasisi na kila kijiji.

Ni hivi karibuni mjomba alifanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Gesi kupitia kampuni yake ya Twafa-Gas!

Huku tunaona mjomba akizidi kujiweka sawa kumbadili huyu wazo-la-mkuu.

Ili safu yake itimie.
Sababu kati ya woote walioko,kuanzia Msogee hadi Zenji,na kuanzia Bumbu-wali hadi Mtama.

Kote amepashika mjomba
Tatizo liko hapa Kwa huyu wa Rua-angwa bado kuna kizuizi.
Hivyo inaonekana wazi ni kutafuta kuondoa kwa Majaaliwa ya Mungu.

Wa kunielewa tuko wote!
Niko siti ya mbele kidogo.

Yanayokuja Yanakerehesha!
10101 Alamsiki!

Acha tu huyo Rost Tamu afanye yake, tukikumbuka ukatili aliotufanyia dhalimu hatuna hamu tena na wazalendo wa mdomoni. Hizo fedha za Rost Tamu zimewajengea hadi ACT ofisi, lakini acha tu iwe hivyo maana sukuma gang lilikuwa kundi hatari. Hii itasaidia wananchi kuingia mtaani kwani itabidi uoga uwaishe.
 
Wakati wewe ukiendelea kugombana na "Marehemu" Wacha tulio hai tugombane na walio hai kama sisi!
 
Back
Top Bottom