Toba, hawa si chura jamani!

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Napata picha sasa kwa nini wazungu wameng'ang'ania chura wetu wa Kihansi ni wa aina yake na hawapatikani sehemu yoyote Duniani isipokuwa Tanzania tena Kihansi tu, inasemekana chura hawa hawatagi wanazaa, wazungu hamnazo...

tn
tn
tn

tn
tn
tn

tn
tn
 
Attachments

  • ch1.jpg
    ch1.jpg
    4.8 KB · Views: 202
  • ch2.jpg
    ch2.jpg
    3.9 KB · Views: 127
  • ch3.jpg
    ch3.jpg
    4.6 KB · Views: 116
  • ch4.jpg
    ch4.jpg
    5.3 KB · Views: 99
  • ch5.jpg
    ch5.jpg
    4.4 KB · Views: 99
  • ch6.jpg
    ch6.jpg
    4.6 KB · Views: 97
  • ch7.jpg
    ch7.jpg
    4.5 KB · Views: 101
  • ch8.jpg
    ch8.jpg
    4.3 KB · Views: 150
Napata picha sasa kwa nini wazungu wameng'ang'ania chura wetu wa Kihansi ni wa aina yake na hawapatikani sehemu yoyote Duniani isipokuwa Tanzania tena Kihansi tu, inasemekana chura hawa hawatagi wanazaa, wazungu hamnazo...

tn
tn
tn

tn
tn
tn

tn
tn
Duuuuuh, ama kweli si churaaa wala vyura nilowaona
 
Kwa wale watakaoshindwa kuona picha, Nafikiri kuna tatizo networking, nimemwomba Invisible labda atarekebisha.
 
chura wanaonekana sasa mkuu kesharekebisha...ila wadogo hawaonekani vizuri Kakuruvi wakuze basi
 
sasa hii ni kweli au ndio kama ile ya chula wa EATV?
Mbona haya mauzauza?
Duh!hawa chura,jamaanii ,hii ni kweli kweli au kweli uongo?
 
attachment.php

ha ha ha Chura wanapiga styles zote hii style wataalamu inaitwaje?
 
Back
Top Bottom