Huwezi elewa hata ukieleweshwa,nadhani thinking capacity yako iko low, akili yako inahitaji malumbanoWe jibu kwanza swali
Mungu yupi huyo!?
Halafu ndo tutakuja Kwa hao akina Aristotle na Da Vinci
Wa kwenye bible mkuuWengi wanajaza Dunia nzima
Mungu yupi huyo!?
ππππππHuwezi elewa hata ukieleweshwa,nadhani thinking capacity yako iko low, akili yako inahitaji malumbano
Kila mtu ashinde mechi zakeβοΈ
Kwahiyo Mungu unayemzungumzia hapa ni WA kwenye Biblia!?
Pole sana Kwa kuchagua kisicho faa
Tafuta Mungu mwingine mkuuWa kwenye bible mkuu
πππππ ππKila mtu ashinde mechi zake
Be blessed πππMimi si mlumbanaji wa Mungu yupo ni Bora kuliko mwingine,never na usije ukadhani unaweza kuweka ligi na Mimi eti niseme Yehova ni Bora kuliko Allah,au Allah ni Bora kuliko Krishna,au Krishna ni Bora kuliko Buddha.....siko mlengo huo naamini katika JEHOVAH na simkatazi mtu kuamini anachoamini as long as anaamini ni Mungu na anajifunza yaliyo mema.
Huyo huyoooMungu yupi
Bwana yupi!?
AahaahaaHuyo huyooo
Thank uBe blessed πππ
π€£π€£π€£π€£Hakika ni Mungu tu alikuokoa kwenye mikono ya kiherehere Maana ungekiona Cha moto siku hiyoOya eeh sio pw..
2018 nilikua natumiki kifungo changu katika gereza la ISIS mbarali,tulikua tunafyatua tofali(zile zenye foroma mbili) yaan kwa wakati mmoja unabeba tofali mbili halafu mchakamchaka na nyuma yako kuna kiherehere anakutandika viboko...
kiukweli ile hali ya kupigwa niliichoka(nkakumbuka nimekaa jkt miez 3) nikawaza hapa nisipotumia ukakamavu wangu nitapigwa mpaka mgongo utaoza...
wakat kiherehere ananipiga nikammwagia yale matope usoni halafu nikamkumba mpaka chini tukaanza kugaragazana,wenzie wakaja...
ile wanaanza kunipiga akaja nyapara akaita jina langu,nikaitika chap "NIPO BWANA MKUBWA" akasema unaitwa ubaoni...dah kumbe bro alikua amefanya mpango wa kunitoa...NILIUONA UTUKUFU WA MUNGU SIKU ILE..
ππππ€£π€£π€£π€£Wanajishaua tu kwenye internet ila kiuhalisia wala hawapo hivyo, akijikwaa kidogo tu kishamlilia Mungu
β€οΈππππππ
Natupa taulo ulingoni
Deuces
Aliyekutoa ni bro au Mungu!?Oya eeh sio pw..
2018 nilikua natumiki kifungo changu katika gereza la ISIS mbarali,tulikua tunafyatua tofali(zile zenye foroma mbili) yaan kwa wakati mmoja unabeba tofali mbili halafu mchakamchaka na nyuma yako kuna kiherehere anakutandika viboko...
kiukweli ile hali ya kupigwa niliichoka(nkakumbuka nimekaa jkt miez 3) nikawaza hapa nisipotumia ukakamavu wangu nitapigwa mpaka mgongo utaoza...
wakat kiherehere ananipiga nikammwagia yale matope usoni halafu nikamkumba mpaka chini tukaanza kugaragazana,wenzie wakaja...
ile wanaanza kunipiga akaja nyapara akaita jina langu,nikaitika chap "NIPO BWANA MKUBWA" akasema unaitwa ubaoni...dah kumbe bro alikua amefanya mpango wa kunitoa...NILIUONA UTUKUFU WA MUNGU SIKU ILE..
Una uhakika?Sijaona uhusiano wa wowote kati ya Mungu wako na pumzi yangu
πππ«±πΌβπ«²π½π«±πΌβπ«²π½π«±πΌβπ«²π½Tena za kijinga
Pole sanaAskari alinisingizia case wakati flani kisa mrembo mmja hivi,niliwekwa ndani baadae nilifanikiwa kutoka