Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
There are so many reasons my dear..wengine wanataka kutengeneza walipoharibu..wengine wanajipanga upya ( to find themselves),Wengine wanatengeneza ndoa au mahusiano yao, wengine ni kubanwa na majukumu n.k... Give them space they will surely come back wakiwa tayari
Ni wangapi wamechange ID zao?
Oukei. Kumbe? Kuanza upya sio dhambi. Si ndio wanachofanya?
Yes mpendwa
Hah hah haha Arushaone, acha kuuza gazeti, nasikia sisi wakimbizi kutoka pembe ya Afrika tunaonekana magaidi, thats why huwa najitambulisha mhanga wa kwashiakoo wa njaa ya mwaka 1984
Ni wangapi wamechange ID zao?
Wengi mkuu Nicas Mtei ila hapa natupa mawe porini utaona tu watakuja wenyewe.
@Nimemkumbuka Cantalisia gafla.
nataman kuwajua.
Nami nimewakumbuka kina nanihino wote leo Nicas Mtei ingawa sijawaota lol.
Naelekea kubadili ID pia....na previous posts zote naondoa...
Binti Sayuni mambo mwaya . . . !