Duh! Siyo muumini wa siasa lakini kwa hizo raba hapana hata kwa mboko sivai
Avatar yako nzuri sana aiseeDuh! Siyo muumini wa siasa lakini kwa hizo raba hapana hata kwa mboko sivai
Aaaanh wakati nshakununulia na ilikuwa iwe surprise!!
Avatar yako nzuri sana aisee
Oooohhhh! Mkuu ocampo four, kuwa makini humu jf unaweza tongoza jini au akina Tom Cook kwa kuangalia avatar.Avatar yako nzuri sana aisee
Yes, hutolewa bure kwa wasanii wa Bongo Movie na Bongo Fleva wakati wa kampeni. Be careful with politicians, they can use you, misuse you, disuse you, abuse you, seduce you, confuse you then diffuse you....😛eep:hizo raba si huwa wanazitoa bure?
Hhahahahahs mkuu tahadhari yako imezingatiwa.....Oooohhhh! Mkuu ocampo four, kuwa makini humu jf unaweza tongoza jini au akina Tom Cook kwa kuangalia avatar.